Historia ya Sheikh Suleiman Takadir kama nilivyoipokea kutoka kwa Sheikh Haidar Mwinyimvua

Ndio Mwanangu
Ni Babu Yangu
Bevin Tipha Msowoya
Mpiga picha wa enzi hizo magomeni mapipa
Jane...
Mimi nikimfahamu Kinondoni katika miaka ya 1960.

Nina picha zake alimpiga Ali Msham na Nyerere Magomeni Mapipa miaka ya 1950 katikati ni za kihistoria.

Mmehifadhi maktaba ya picha zake?
 
Jane...
Mimi nikimfahamu Kinondoni katika miaka ya 1960.

Nina picha zake alimpiga Ali Msham na Nyerere Magomeni Mapipa miaka ya 1950 katikati ni za kihistoria.

Mmehifadhi maktaba ya picha zake?
Ayseee miaka hiyo hata sijulikani
Hawajahifadhi SoMo yaani hakuna kitu kabisa picha zipo chache chache,nikipata zitakazokufaa ntakutumia
 
Hukuwa na sababu za kuwataja hao watu na tags za Taasisi zao kidini.

Ungesema tu walikuwa WATANGANYIKA WAZALENDO wa mwanzo na WAPIGANIA UHURU wa MWANZO ungeeleweka barabara!!.

Kama sio Religious Fanatism ni Nini basi!?.

Hii sio Historia ni ushabiki
 
Mangu...
Ikiwa umeelewa hivyo hakuna ubaya wowote.
 
Niende vipi badala yeye alete hapa?kwanini nisiamini kama huyu ni muongo?
Mna...
Hapana sababu ya kughadhibika na kuniita mimi muongo.

Tukiingia katika lugha kali tutauharibu mjadala wetu.

Katika usomi kwa kawaida ukiweka rejea inaonyesha "citation," inakuwa imetosha.

Gazeti lenye picha hiyo na terehe nimeweka.

Ikiwa sasa unapenda kuona hiyo rejea ni juu yako kuitafuta.

Ukifika Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam, East Africana utalipata gazeti hilo na utaiona picha ya Sheikh Suleiman Takadir.

Mimi nafanya juhudi ya kuipata hii picha.
 
Mbona historia zako na za masheikh zaidi??
 
Mbona historia zako na za masheikh zaidi??
Yoda,
Sababu ndiyo ambao lau walikuwa na mchango mkubwa katika historia ya uhuru wa Tanganyka lakini historia yao ilifutwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…