Salari:
Mimi siwezi kuisemea Wizara ya Elimu kwa nini kitabu cha Abdul Sykes hakijapewa ithibati ili kisomeshwe Tanzania.
Hilo la shule za Kiislam kutokisomesha ni sawa kwani hawawezi kusomesha kitabu ambacho hakijapitishwa na serikali.
Hili la ''kufikirisha,'' hakika linafikirisha.
Nina kitabi kingine kwa ajili ya kusomesha Kiingereza na HIstoria shule za msingi.
Kitabu hiki kimechapwa na Oxford University Press.
Kitabu hiki kinasomeshwa Kenya na Uganda lakini hakisomeshwi Tanzania.
Angalia kitabu hicho hapo chini: