Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

Hawa ndio usema St Joseph ulikuwa Msikiti
 
Huyu mzee wangu kwa fix hajambo.
Zanzibar...
Hapana mimi si mtu wa mambo hayo.

Nimepita kwingi na nimeandika mengi na nimeshirikishwa katika miradi mingi ya kuandika historia na taasisi zinazofahamika kama Oxford University Press, Northwestern University, Harvard nk.


 
Usicheke Mkuu mwezako huyu akienda hapo mtoro, kichangani na idrisaa akianza kusimulia hizi ngano.
Huwa anawajaza waumini ghahabu mioyoni na hiyo ndiyo furaha yake.
 
Usicheke Mkuu mwezako huyu akienda hapo mtoro, kichangani na idrisaa akianza kusimulia hizi ngano.
Huwa anawajaza waumini ghahabu mioyoni na hiyo ndiyo furaha yake.
Inside 10,
Kwa nini husemi kweli?

Nimezungumza historia hii University of Iowa, Iowa City, Northwest University Chicago, Zentrum Moderner Orient, Berlin, University of Ibadan, Nigeria, University of Johannesburg, Afrika Kusini, Kenyatta University, State University of Zanzibar, University of Dar es Salaam, IDM Mzumbe na kwengine kwingi kwa kualikwa.

Sijaalikwa huko kuzungumza ngano.

Nimealikwa huko kote kwa kuwa ninalo la kuchangia katika ulimwengu wa historia ya Tanzania na Afrika kwa jumla.

Paper nilizowasilisha kote huko zipo katika maktaba za vyuo hivyo na Library of Congress, Washington.

Unadhani ningekuwa namdogosha Nyerere na Ukristo ningekanyaga ngazi hizi?

Hiyo misikiti yote uliyotaja nimekuwa nikisali toka udogo wangu mingine ikiwa ya udongo hadi leo ni misikiti ya kupendeza.


Library of Congress, Washington DC

Northwestern University, Chicago​
 
Babu...
Sikulazimishi kuacha kuamimi upendacho.

Nimekuwekea rejea ya C H Baker akiandika historia ya Maji Maji.

Kataja majina ya Kiislam barua inatoka kwa Sultan Sultan Ruuf bin Songea inakwenda kwa Hassan Massaninga.
hivi unaboweka reference angekua kasoma angeelewa.sasa hapa mzee mohamed unajichosha na huyu hata reference hajui anashupaza shingo. tanzania utafiti bado sana.huyu kashashiba ugal amekaa kijiwen anaanza kubishana.
unapokuwa msom unapinga unapewa reference. nin maana yake? maana yake mwandish anakuambia aliyoyaandiika si yeye ila nenda mahali fulan utayapata. sasa unapewa reference bado unajitia upofu. mzee mohamed hapa naona hata usijibu wengi walikimbia koz ya research hawaelew hata maana ya reference.
 
Julai...
Ahsante sana.
Juu ya yote bado tuna wajibu wa kufunzana kuondoa ujinga,
 
Historia uliyoandika ni ya Tanzania, halafu hakuna hata chuo kimoja, shule msingi wala sekondari hawatumii kitabu chako....hata vyuo vya kiislam au vyenye muelekeo huo havikitumii....inafikirisha.....
 
Historia uliyoandika ni ya Tanzania, halafu hakuna hata chuo kimoja, shule msingi wala sekondari hawatumii kitabu chako....hata vyuo vya kiislam au vyenye muelekeo huo havikitumii....inafikirisha.....
Salari:
Mimi siwezi kuisemea Wizara ya Elimu kwa nini kitabu cha Abdul Sykes hakijapewa ithibati ili kisomeshwe Tanzania.

Hilo la shule za Kiislam kutokisomesha ni sawa kwani hawawezi kusomesha kitabu ambacho hakijapitishwa na serikali.

Hili la ''kufikirisha,'' hakika linafikirisha.

Nina kitabi kingine kwa ajili ya kusomesha Kiingereza na HIstoria shule za msingi.
Kitabu hiki kimechapwa na Oxford University Press.

Kitabu hiki kinasomeshwa Kenya na Uganda lakini hakisomeshwi Tanzania.
Angalia kitabu hicho hapo chini:


Hiki kitabu ni Second Edition

First Edition
 
Kwa namna moja au nyingine kuna shida yaani unadai umeandika kitabu/vitabu kusahihisha historia tena inayohusu watanzania (tena watanzania wenyewe waislamuπŸ˜†πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€) halafu serikali wala haina time navyo kabisaaaaaaaaaaaa.
Aisee inawezekana kabisaa vitabu vyako vinahitaji masahihisho makubwa.
Anyway vitabu vyako vikisimuliwa madrasa au misikitini itatosha piaπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒ maana ni ngano murua kwa jamii ya kiislamu.
 
Salari,
John Iliffe, Jonathon Glassman na James Brennan wamepitia kitabu cha Abdul Sykes na book review zao zikichapwa katika Cambridge Journal of African History.

Hili si jambo dogo.

Nimezungumza University of Iowa na Northwestern University kwa mialiko ya Department of African History katika vyuo hivyo.

Nimetiwa katika miradi ya kuandika historia ya Oxford University Press na Harvard nk.

Mimi ni mmoja wa waandishi 500 walioandika Dictionary of African Biography.

Wewe unazungumza habari ya misikiti.

Msikitini nakwenda kusali lakini shughuli zangu ni katika Vyuo Vikuu.
 
Yaan hata vyuo vikuu vya nchi za kiislam hawajawahi kukuita ukatoe darasa kuwa waislam wa tanzania walopigania uhuru hawakutendewa haki?
 
Yaan hata vyuo vikuu vya nchi za kiislam hawajawahi kukuita ukatoe darasa kuwa waislam wa tanzania walopigania uhuru hawakutendewa haki?
Salari,
Nimepatakuzungumza University of Madina na University of Khartoum.
 
Mzee Mohamed said unachoongea ni sahihi kinachonishangaza ni kwa nini watu waliamua kupindisha ukweli.

Ni kweli kabisa songea mbano alikuwa muislamu na machifu wengi wa kingoni walikuwa waislamu kutokana na mahusiano na wafanyabiashara wa kiarabu ambao walianza kufanya biashara na machifu wa kingoni hata kabla ya wajerumani kuja ungonini.
Wajerumani walipoingia ungonini waliwakuta wangoni wengi wanafuata dini za kimila na baadhi ni waislamu kutokana na ukaribu wao na wafanyabiashara wa kiarabu.
Mimi binafsi marehemu bibi yangu alitoka kwenye ukoo wa jumbe mfaranyaki, ingawa bibi ambaye alizaliwa 1930 alikuwa mkristo lakini baadhi ya baba zake wakubwa na babu zake walikuwa waislamu na alikuwa akiwataja kwa majina ya kiislamu.
Viongozi wengi wa vita ya maji maji walikuwa aidha waislamu au Wana dini za asili, wasingeweza kuwa katika dini ya adui wao aliewapoka mamlaka yao yaani ukristo wa wajerumani, Ila baada ya vita kwisha watoto na wajukuu wa hawa mashujaa kutokana na nguvu yao katika jamii mkoloni aliamua kuwatumia Kama wasaidizi ndipo hapo nao katika kupenda kuendelea kuwa na madaraka basi wakajiweka karibu na wajerumani na kubadili dini na kuwa waikristo na wengine wengi walisomeshwa shule za wamisionari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…