Kwamba uvunjaji wa mabucha ya nguruwe ni kwababu ya umasikini wa Tabora,Kilwa na Kigoma! Kwamba Nyerere kavaa soksi ndeefu!, kwamba mambucha ya nguruwe yanamilikiwa na christiantraders, kwamba 83% wanamadraka 17% waislam tu, wapagani 0, wahindi 0 n.k. Mhariri gani atakupa line ujibu kama hizo.Nilikusudia kuuliza kwa Ahali yangu Mohamed Said au members mliopo Tz
Siku zote ukweli unasemwa hadharani na uwongo unazungumzwa upenuni.Nilitaka kukuuliza je kuna mtu yeyote alithubutu au kudiriki kuzijibu hizo makala. zako kwenye magazeti huko Tz?
Kwamba uvunjaji wa mabucha ya nguruwe ni kwababu ya umasikini wa Tabora,Kilwa na Kigoma! Kwamba Nyerere kavaa soksi ndeefu!, kwamba mambucha ya nguruwe yanamilikiwa na christiantraders, kwamba 83% wanamadraka 17% waislam tu, wapagani 0, wahindi 0 n.k. Mhariri gani atakupa line ujibu kama hizo.
"In the city of Dar es Salaamalone there were twenty nine pork butcheries. There occurred incidences whereMuslims have been sold pork either by design or by fault. This createdanimosity between Muslims and Christian butcher owners. Muslims had for manyyears complained to the government about selling of pork in Muslim populatedareas but the authorities had ignored them.[1] Theproblem of pork butcheries was even referred to the Prime Minister andVice-President John Malecela but nothing was done to solve the problem. Thiswas after Muslims had seen the Dar es Salaam Regional Commissioner, MustaphaNyang'anyi. This Muslim action came after an abortive meeting between imams of five prominent mosques in thearea and the district Commissioner Wilson Mkama failed to resolve the nuisanceof pig butcheries. In no uncertain manner the imams requested the District Commissioner to close down thebutcheries." [2] The District Commissioner showed contempt at the imams and he impressed upon them that the butcheries were legallylicensed and the government was duty bound to protect them from being molestedby few "Muslim fundamentalists." It was this government reaction which brokethe camel's back. In an operation on Easter Friday afternoon a group of Muslimslike well trained commando squad moved swiftly through Kinondoni Districtdemolishing pig butcheries amidst chants of AllahuAkbar. This was the first ever physical attack by Muslims on Christianproperty justified by religious belief for over seventy five years. By takingthe law into their own hands Muslims had fired their first warning shot. Whennews of the attack became known Christians held their breath. On Easter Fridaywhen while Christians were observing the crucifixion of Christ a group ofMuslims in Magomeni, Tandale and Manzese in Kinondoni District went on rampageand demolished pork butcheries owned by Christian traders.Sasa unabisha nini? Hujui kwamba economic inequalities zinasababisha riot? C'mon. Let's be honest...
Huyu anayekuuliza alikuwa amelala? hujawahi kutoa jibu Mohamed. Unachofanya ni kuweka vipande vyako vya propaganda visivyohusiana na jibu, ukikamatwa mahali unakimbilia kusema andikeni vitabu. Unachoweza kujibu ni nyumba za wazee wako na mitaaa, lakini huwezi kujibu kamati kuu ya TANU ilikuwa na akina nani.
MohamedPS: Kuna mtu kanipigia simu anasema, "Mohamed kila unapoulizwa swali na ukatoa jibu unazidi kunichanganya fikra zangu lakini linalonistaajabisha ni kuwa unaowajibu hawahisi kuwa unawapa kitu kipya hakijapata kujilikana kwa wengi. Inanisikitisha kuwa hawa ndugu zangu vichwa vyao haviwezi kupokea kitu kipya." MS
Kwa sababu umeliona unaweza kutusaidia...kama waislam ni 60% , waliosalia yaani christians na wasiokuwa na dini ni asilimia ngapi?
Huyu anayekuuliza alikuwa amelala? hujawahi kutoa jibu Mohamed. Unachofanya ni kuweka vipande vyako vya propaganda visivyohusiana na jibu, ukikamatwa mahali unakimbilia kusema andikeni vitabu. Unachoweza kujibu ni nyumba za wazee wako na mitaaa, lakini huwezi kujibu kamati kuu ya TANU ilikuwa na akina nani.
Unaposema mabucha yalivunjwa kwa umasikini wa Tabora,Kilwa, Kigoma na Mtwara kwa hakika ni kitu kipya!!! kwasababu kile cha zamani hakipo hivyo. Vinafanana kwa majina. Huyo aliyekupigia simu inaweza kuwa ni mwanachama wa gogovivu na angesema tofauti ningemshangaa.
Mwambie hivi: AMNUT walivurugana kama walivyovurugana shura ya maimamu wakati wa engineer Mbukuzi. Kama Zinavyovurugana taasisi za shura ya wazee, kamati ya mali, kamati ya haki. Unachowaambia watu sio kile kinachotokea. Mchawi hayupo ukumbini yupo chumbani, mwambie aingie uvunguni atamuona
Mwambie, Tewa S Tewa aliyekuachia makabrasha ni mmoja wa wanafiki waliokuwa informers na akathubutu kuitelekeza EAMWS ili achumie tumbo. Hicho ndicho kipya si wewe kubeba mafaili ya Tewa.
Mwambie hivi, kama asilimia 83 ya madaraka ni wakristo na 17% ni waislam, mapagani na wenye dini nyingine tunawaweka wapi? Mwambie umeshindwa kuthibitisha ukweli wa namba hizo achilia mbali kujibu. Au labda anamaana unapotuambia tukaandike vitabu ni kitu kipya!
Mueleze kuwa kwa mara ya kwanza baada ya ziara za ulaya, marekani, visiwa vya fiji, Tonga na Vanuata umerejea na kitu kipya nacho ni kukiri kuwa Rupia ni mzee wako kama Sykes, Kiyate, Makaranga na Munanka. Hiki ndicho kipya.
Mdokezee kuwa umeelewa kuwa historia ya Tanganyika ni zaidi ya Narung'ombe,Kipata na mchikichini
Mfikishie salamu za Kigarama kutoka Kalenga kama ulivyozipokea kwa unyenyekevu na taadhima.
Mwisho mpe nauli aende magogoni ofisi za wizara ya elimu akaulizie namba za mitihani zimeanza kutumika lini? kwa sababu umejibu mengi kama alivyosema lakini hilo hujapata jibu.
Waama hata sisi tunajifunza mengi, nani alijua kitoweo cha Nyerere na soksi ndeefu.
Huyu mtu Mohamed Said has shown himself to be a fraud through and through, and worse still, amekuwa akikwepa at almost every single opportunity kujibu directly and satisfactorily maswali ya msingi lukuki ambayo amekuwa akiulizwa by being both evasive and arrogant.
Watu hatuhitaji kufahamu, and are certainly not impressed by irrelevant and unproven petty details of the sort "Nyumba ya tatu kulia unaelekea Mchikichi ilikuwa nyumba ya bibi yangu na nyingine ilikuwa last but two kufikia Stanley sasa Aggrey. Ukivuka ndiko ilipokuwa nyumba ya Mzee Kleist na dula lake lilikuwa hapo. Hiyo ndiyo Nyerere alikaa alipoacha ualimu. Wakati huo nyumba hiyo akiishi Abdu Sykes."
Kwa kweli huyu mtu ameonyesha dharau kubwa sana juu ya Wachangiaji wengi waliom-challenge kuhusu hoja zake kwa michango na maswali mengi ambayo ni well-thought out and very profound lakini hadi sasa hayajajibiwa ipasavyo kimantiki na Mohamed Said zaidi ya kuja na majibu ya mkato na ya dharau. That being said, Mohamed Said deserves a ban for insulting the collective intelligence /intellect of contributors in this and similar threads that deal with his writings.
Mzee Mohamed Said, hivi haya ndio majibu anayositahili kuyatoa mtu anayejinasibu kuwa mwanazuoni aliye bobea kama wewe? Mie naona kama yapo chini ya kiwango cha usomi. Lengo sio kuandika porojo, lengo ni kueleza HISTORIA bila ubabaishaji au chuki dhidi ya watu wengine. Nashukuru kwani majibu yako ya kipuuzi kama haya yananielewesha kwamba wewe ni mtu wa aina gani!Ritz,
Nyumba ya tatu kulia unaelekea Mchikichi ilikuwa nyumba ya bibi yangu na nyingine ilikuwa last but two kufikia Stanley sasa Aggrey.
Ukivuka ndiko ilipokuwa nyumba ya Mzee Kleist na dula lake lilikuwa hapo. Hiyo ndiyo Nyerere alikaa alipoacha ualimu. Wakati huo nyumba hiyo akiishi Abdu Sykes.
Mie nafurahi sana nikisikia ati naandika porojo za wazee wangu.
Kwani wao hawana wazee?
Mbona na wao hawaandiki porojo za wazee wao?
Mohamed
Kinaaminika wapi?Nguruvi34,Mie kitabu changu tunakwenda chapa ya tatu na kwa hivi sasa ndiyo kitabu kinachoaminika katika historia ya uhuru wa Tanganyika na yaliyotokea baadae.
Mohamed
Kinaaminika wapi?
Mzee Mohamed Said, hivi haya ndio majibu anayositahili kuyatoa mtu anayejinasibu kuwa mwanazuoni aliye bobea kama wewe? Mie naona kama yapo chini ya kiwango cha usomi. Lengo sio kuandika porojo, lengo ni kueleza HISTORIA bila ubabaishaji au chuki dhidi ya watu wengine. Nashukuru kwani majibu yako ya kipuuzi kama haya yananielewesha kwamba wewe ni mtu wa aina gani!
Athari yake ni chuki, kuligawa taifa na kuzusha. Athari zake ni maafa.Nguruvi3,Wanaokisoma ni nani na kina athari gani?
Hivi unataka hata hilo nikufahamishe mie?Mohamed
Mzee Mohamed amefikia kile ambacho Albert Einstein aliwahi kuandika "Once we accept our limits we go beyond them". Is he ready to go beyond his limits?Mzee Mohamed Said, hivi haya ndio majibu anayositahili kuyatoa mtu anayejinasibu kuwa mwanazuoni aliye bobea kama wewe? Mie naona kama yapo chini ya kiwango cha usomi. Lengo sio kuandika porojo, lengo ni kueleza HISTORIA bila ubabaishaji au chuki dhidi ya watu wengine. Nashukuru kwani majibu yako ya kipuuzi kama haya yananielewesha kwamba wewe ni mtu wa aina gani!
Mzee Mohamed amefikia kile ambacho Albert Einstein aliwahi kuandika "Once we accept our limits we go beyond them". Is he ready to go beyond his limits?
Kwamba Mohamed hakwenda mbali kama "scholar" akaongea na watu wengine mbali na wazee wake hawa wa Kariakoo ambao pia walikuwa pamoja na Mwalimu. Watu kama Rashid, familia ya Mwapachu, Said Maswanya, Job Lusinde, Sir George, Chris Kasanga Tumbo( ambaye naye alitofautiana sana na Mwalimu), Oscar Kambona,....., au wao hawakusahaulika?

Kitabu hakiwezi kujibiwa kwa kitabu kingine. Ingekuwa taarab kweli. Hilo moja. La pili, wazee hawa wengi hawapo duniani sasa. Tatu, mazingira yamebadilika sana. Nne, wengi wetu sio waandishi wazuri kama wewe. Ungeweza ukaongea na Kasanga Tumbo pia kwa ukaribu uliouonyesha hapo. Ukamuuliza juu ya mfumokristo ulivyomgomea yeye pia! Uliamua kuandika historia iliyosahaulika ya nchi hii ungeenda mbali zaidi ya wazee hawa wa Kariakoo.WC,
Hii ishakuwa "never ending story."
Maswali yaleyale na mimi natoa jibu lilelile.
Hapa tulipofika ili nyie muweze kutoa jibu la kitabu changu ni nyinyi sasa kufanya hayo mnayotaka mie ningelifaya au nifanye sasa.
Ila kamata hili moja Kassanga Tumbo na babu yangu Salum Abdallah ndiyo waasisi wa Tanganyika Railway African Union (TRAU) 1955. Salum Abdallah, Mwenyekiti na Kassanga Tumbo, Katibu.
Mohamed
Athari yake ni chuki, kuligawa taifa na kuzusha. Athari zake ni maafa.
Hivi wanaonunua novel nao tuwaweke wapi.
Ukitaka kujua masimulizi yalivyo na chuki, mwanzo hadi mwisho ni kumchafua Nyerere kana kwamba hakuwahi kufanya zuri hata moja.
Mwanzo hadi mwisho ni kumsifia Sykes kana kwamba alikuwa malaika. Mohamed hawa ni wanadamu na hakuna aliyemtimilifu ila Mola muumba.
Mwanzo hadi mwisho hakuna makosa waliyofanya waislam, mwanzo hadi mwisho tuhuma kwa wakristo. Mohamed, waambie watu ukweli mchawi yupo wapi. Haiwezekani AMNUT wavurugane mwaka 1959 hadi leo watu waendelee kuvurugana na wewe ufumbe macho kana kwamba hilo halikutokea au halipo.
Mwanafunzi atakayefanya kitabu chako reference nitamuuliza swali moja tu, akifaulu nitakwenda hata mahakamani apate degree yake.
Swali; Kwa vile BAKWATA imekataliwa na waislam kwa mujibu wa kitabu cha mtafiti sheikh Mohamed Said Salum wa Kipata na Narung'ombe:
(A)Je kwasasa mwanafunzi huyo anaweza kuitaja taasisi gani kama mwakilishi wa kweli wa waislam katika taasisi zifuatazo?Istqama, Shura ya maimam wa Dar, shura ya wazee wa Dar, baraza kuu la taasisi za waislam, kamati ya haki za waislam, kamati ya mali za waislam,
kamati ya masheikh wanaozunguka mikoani kueleza dhulma, kamati ya Mohamed Said inayofanya shughuli zake mafichoni)
(B) Ni kwanini anadhani taasisi hiyo ina uhalali kuzidi nyingine
(c) Nani wanaounda taasisi hiyo na uhalali wake unatokana na ridhaa ya waislam wapi.