Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Sawa twende taratibu. Je ni itakuwa sawa waislam kumita huyu mamluki Syskes kuwa ni Msaliti . Hilo La kususiwa lina uhusiano sababu kuna uliowaita wasaliti ulionekana kufurahia na kuunga mkono kususiwa mazishi yao eti kwa kuwa tu walikuwa wasaliti wa waislam. Ndiyo maana nakuuliza katika mafundisho hawa waislam mamluki waliopigana vita sambamba wa akwristu kuwapiga mashujaa wa asilam tuwaiteje ?
Ukisha nieliisha hilo. nielimishe
Nifundishe ni jinsi gan vita vya maji maji i hivi vilikuw ni vita vya waislm dhidi ya wakristo?
- kwa nini ilitwa vita ya maji maji,
- Vita iliongozwaje n kw misingi gni
- Kabla na baada ya kutoka wenye mapigano mshujaa waliswalishwa na sheikha ustadh gani?
- Kama walitumia matmbiko, mila na desturi na dawa walitumia kifungu gani Qora
Fahari,
Naona umepata hamu kubwa sana ya kujua maisha ya Sykes Mbuwane katika jeshi la Wajerumani. Sasa ingekuwa vyema kama ungesoma "Kleist Sykes: The Townsman" katika "Modern Tanzanians" kama alivyoandika kitukuu chake Daisy Aisha Sykes.
Unaweza vilevile kupata seminar paper ya Daisy Sykes "Kleist Sykes" East Africana Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Majibu ya maswali yako huenda ukayapata humu kwa kauli zao wenyewe.
Na kama utapenda soma katika kitabu changu: "Kleist Sykes (1894 1949) Man of Ideas" unaweza labda ukapata kitu.
Utaniwia radhi sana nashindwa kujibu maswali yako mengine kwa kuwa nakosa kupata ile mantiki. Jaribu kunifafanulia zaidi.
Sielewi "matambiko" etc. etc. unakusudia nini khasa.
Mohamed