For starters, kusema kuwa kung'atuka limetokana na neno kung'ata. Secondly, kuuongopea umma kuwa Nyerere alificha hela za msikiti wa Butiama mpaka alipofariki ndipo Mama Maria akazitoa msikiti ukajengwa. Unataka niendelee?Kwa kuwa umenitaja, tafadhali niwekee huo "uongo" niliokuja nao, ukishindwa ina maana wewe ndiye muongo.
Mzee Mohamed,
Umekisoma bila shaka kitabu kinachoitwa "Wanawake wa TANU", kilichoandikwa na Marehemu Susan Geiger. Maoni ya Bibi Titi ni ya kupikwa hasa kuhusu elimu?
jokaKuu.
Mohamed hajafanya haraka kubrand vita vya Maji maji kuwa vita ya Waislamu dhidi ya Ukristo. Hiyo ni strategy. They don't care about the historical validity of their claims as long as it is believable among Muslims "who did not know that their predicament as far as development is concerned is caused by Christians." Ndio maana umewaona akina Barubaru wanakuja hapa na uwongo au Faiza Foxy kupindisha ukweli ili theme yao ionekane believable. Mohamed ameshindwa kujibu ilikuwaje baba yake Sykes ashirikiane na Wajerumani kupambana na Waislamu na wakati huo huo mwanae awe shujaa wa Waislamu walioleta uhuru. Hawawezi kujibu.
Waislam wakipigana na Wajerumani waliokuwa Wakristo na Waislam wakitumia dini yao kama "ideology of resistance" kama walivyoitumia tena katika harakati za kudai uhuru dhidi ya Waingereza.
Mohamed
MS
unajua utatusaidia kuelewa ukweli kama ukituleza hiyo specif Ideology ya vita ilikuwa ya waislam. Hili swali ndio nimekuuliza sana
Historia unayosema ya uwongo imeandika wajerumani (Wakristu) walikata kichwa cha mkwawa(Muislam). Histria inaendelea kuandika ule mwili wa mkwawa uliobaki ulifanyiwa maziko kimila. Je kuna ukweli?
Historia unayosema ya uwongo inaandika moja ya chanzo na vililivychochea vita ni utawala wa wajerumani kuchoma sehemu za ibada za kijadi na kimila zilizoitwa "Mahoka". Je hizi "mahoka" za wazee wetu ndio ilikuwa misikiti
Soma: Maji-Maji
Kwa hiyo histria ya uwngo imetufundisha Idelogy ya vita ya maji majii ilijengwa na wazee wetu kwa bond ya makabila,mila na imani za kijadi.
Ebu tuelimishe kivpii ideogy ya "uislam" ndiyo iliyozaa na kuanzisha vita ya maji maji. ili kwenye hsitoria ya kweli tufute neno wahehe,ngoni, wakulima, na tuweke waislam
Historia ya upade mwingine imeanidkaFahari,
Sielewi unachokitaka narudia na kurudia kukusoma lakini siambui kitu.
Uniwie radhi sana.
Mohamed
For starters, kusema kuwa kung'atuka limetokana na neno kung'ata. Secondly, kuuongopea umma kuwa Nyerere alificha hela za msikiti wa Butiama mpaka alipofariki ndipo Mama Maria akazitoa msikiti ukajengwa. Unataka niendelee?
Historia ya upade mwingine imeanidka
Sasa tuchukulie hizo dondoo mbili hapo juu tulizofunishwa ni za uwongo
- moja ya sababu iliyochcochea vita ya maji maji ni wenyeji na wazee wa kalenga kuchomewa shemu za matambiko ziizoitwa "mahoka". Ndio nakuuliza inawezekana hizi mahoka ilikuwa ni misikiti tumedanganywa?
- Baada ya Kujiua kiongozi na shujaa wa vitae ile Mkwawa(Muislam) Mwili wake ukiondoa kichwa waliuochukua wajerumani (wakristu) Alizikwa na wazee wa "kiislam" kwa taratibu za kijadi . Je na hili wamepotosha?
Ebu tufafanulie ni vipi na ideology ya uislam na waislam ndio muasisi vita ya maji maji
MS
unajua utatusaidia kuelewa ukweli kama ukituleza hiyo specif Ideology ya vita ilikuwa ya waislam. Hili swali ndio nimekuuliza sana
Historia unayosema ya uwongo imeandika wajerumani (Wakristu) walikata kichwa cha mkwawa(Muislam). Histria inaendelea kuandika ule mwili wa mkwawa uliobaki ulifanyiwa maziko kimila. Je kuna ukweli?
Historia unayosema ya uwongo inaandika moja ya chanzo na vililivychochea vita ni utawala wa wajerumani kuchoma sehemu za ibada za kijadi na kimila zilizoitwa "Mahoka". Je hizi "mahoka" za wazee wetu ndio ilikuwa misikiti
Soma: Maji-Maji
Kwa hiyo histria ya uwngo imetufundisha Idelogy ya vita ya maji majii ilijengwa na wazee wetu kwa bond ya makabila,mila na imani za kijadi.
Ebu tuelimishe kivpii ideogy ya "uislam" ndiyo iliyozaa na kuanzisha vita ya maji maji. ili kwenye hsitoria ya kweli tufute neno wahehe,ngoni, wakulima, na tuweke waislam
Historia ya upade mwingine imeanidka
Sasa tuchukulie hizo dondoo mbili hapo juu tulizofunishwa ni za uwongo
- moja ya sababu iliyochcochea vita ya maji maji ni wenyeji na wazee wa kalenga kuchomewa shemu za matambiko ziizoitwa "mahoka". Ndio nakuuliza inawezekana hizi mahoka ilikuwa ni misikiti tumedanganywa?
- Baada ya Kujiua kiongozi na shujaa wa vitae ile Mkwawa(Muislam) Mwili wake ukiondoa kichwa waliuochukua wajerumani (wakristu) Alizikwa na wazee wa "kiislam" kwa taratibu za kijadi . Je na hili wamepotosha?
Ebu tufafanulie ni vipi na ideology ya uislam na waislam ndio muasisi vita ya maji maji
Inakuwa vigumu sana kukuelewa, hivi tatizo lako ni Uislaam au Waislaam? hayo makabila yote uliyoyataja yalianza kuujuwa Uislaam kuliko dini yoyote nyingine, Jee, na hilo ni shida kwako kuelewa?
Hivi MS na wewe mnajua miaka hiyo hawa machief anaosema aina ya maisha na utamaduni wao ulivyokuwa. Hawa machief wali eecute madaraka yao kwa tamaduni na mila ambazo haziendani na hizi dini zetu mbili kuu tulizoachwa kama sehemu ya kikoloniMohmed said said:........Chief Songea bin Ruuf at the time when he was mobilising his people for war while at the same time trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika..........
FF read btn the llines. I mean read the whole sentence and get the semantic not the syntax. If possible go back some few pages so that we are all on boardYou are not right, Islam is not an ideology and do not try to feed us your misconceptions:
FF unaleta mzaha Hi bit kali. nimekjibu juu kule usipoteze hojaYou are not right, Islam is not an ideology and do not try to feed us your misconceptions:
Kabla ya kuendelea, kwanza futa hiyo kauli yako kuwa Islam ni "Ideology".
Sasa umejuaje kama mimi kwenye comment yangu sijtumia neno idelogy kama "concept" ya resistance. Kwa msemo wako wewe nitasema unachekeshaaaaaaa.Ideology iliyotajwa ni "concept" ya resistance lakini si Uislaam wenyewe kuwa ni Ideology, Uislaam hauwezi kuwa ideology. Ideologies ni zetu sisi, Uislaam ni Dini.
You are not right, Islam is not an ideology and do not try to feed us your misconceptions:
"This argument is not meant to imply that Islam is a pacifist religion. As Muslims we believe in the concept of justified warfare. God mentions in the Qur'an:Permission [to fight] is given to those who are unjustly fought against, and God is most capable of assisting them. Those who have been wrongfully expelled from their homes [for no reason] except their saying, "Our Lord is Allah (God)…" [Al-Qur'an 22:39-40]Hence, Islam has instituted fighting to defend life, honor, property, to restore usurped rights, and to protect the integrity of the religion and the community of the faithful. However, that fighting is governed by well-established laws and principles that articulate rules, regulations, and limitations that outline for Muslims when, where, how, and against whom it is permissible to fight. Those laws and principles have never sanctioned anarchist terrorism, wanton murder, tumult, and mayhem.
Similarly,
Fight in the Way of God those who fight you, but do not transgress. God loves not those who transgress. [Al-Qur'an 2:190]
Reducing Islam to an ideology threatens to subordinate those laws and principles to political imperatives that have little to do with Islamic teachings. If this happens consistently enough, the social
foundation of our religion may be lost. As Muslims we may well continue in our various struggles. However, those struggles would be better informed by the revolutionary teachings of Bakunin, Georges Sorel, Rosa Luxemburg, Lenin, Mao, Che Guevara, and others than by the revelation given to our Prophet Muhammad, Peace and Blessings of God upon him. In some circumstances, we could possibly muster a credible defense against any number of threats confronting us. However, at the end of the day, we may find that we have very little left to defend."
read more: New Islamic Directions - Imam Zaid Shakir
Kabla ya kuendelea, kwanza futa hiyo kauli yako kuwa Islam ni "Ideology".
Ideology iliyotajwa ni "concept" ya resistance lakini si Uislaam wenyewe kuwa ni Ideology, Uislaam hauwezi kuwa ideology. Ideologies ni zetu sisi, Uislaam ni Dini.
You are not right, Islam is not an ideology and do not try to feed us your misconceptions:
"This argument is not meant to imply that Islam is a pacifist religion. As Muslims we believe in the concept of justified warfare. God mentions in the Quran:Permission [to fight] is given to those who are unjustly fought against, and God is most capable of assisting them. Those who have been wrongfully expelled from their homes [for no reason] except their saying, Our Lord is Allah (God) [Al-Quran 22:39-40]Hence, Islam has instituted fighting to defend life, honor, property, to restore usurped rights, and to protect the integrity of the religion and the community of the faithful. However, that fighting is governed by well-established laws and principles that articulate rules, regulations, and limitations that outline for Muslims when, where, how, and against whom it is permissible to fight. Those laws and principles have never sanctioned anarchist terrorism, wanton murder, tumult, and mayhem.
Similarly,
Fight in the Way of God those who fight you, but do not transgress. God loves not those who transgress. [Al-Quran 2:190]
Reducing Islam to an ideology threatens to subordinate those laws and principles to political imperatives that have little to do with Islamic teachings. If this happens consistently enough, the social
foundation of our religion may be lost. As Muslims we may well continue in our various struggles. However, those struggles would be better informed by the revolutionary teachings of Bakunin, Georges Sorel, Rosa Luxemburg, Lenin, Mao, Che Guevara, and others than by the revelation given to our Prophet Muhammad, Peace and Blessings of God upon him. In some circumstances, we could possibly muster a credible defense against any number of threats confronting us. However, at the end of the day, we may find that we have very little left to defend."
read more: New Islamic Directions - Imam Zaid Shakir
Kabla ya kuendelea, kwanza futa hiyo kauli yako kuwa Islam ni "Ideology".
Ideology iliyotajwa ni "concept" ya resistance lakini si Uislaam wenyewe kuwa ni Ideology, Uislaam hauwezi kuwa ideology. Ideologies ni zetu sisi, Uislaam ni Dini.
jokaKuu.
Mohamed hajafanya haraka kubrand vita vya Maji maji kuwa vita ya Waislamu dhidi ya Ukristo. Hiyo ni strategy. They don't care about the historical validity of their claims as long as it is believable among Muslims "who did not know that their predicament as far as development is concerned is caused by Christians." Ndio maana umewaona akina Barubaru wanakuja hapa na uwongo au Faiza Foxy kupindisha ukweli ili theme yao ionekane believable. Mohamed ameshindwa kujibu ilikuwaje baba yake Sykes ashirikiane na Wajerumani kupambana na Waislamu na wakati huo huo mwanae awe shujaa wa Waislamu walioleta uhuru. Hawawezi kujibu.
jokaKuu.
Mohamed hajafanya haraka kubrand vita vya Maji maji kuwa vita ya Waislamu dhidi ya Ukristo. Hiyo ni strategy. They don't care about the historical validity of their claims as long as it is believable among Muslims "who did not know that their predicament as far as development is concerned is caused by Christians." Ndio maana umewaona akina Barubaru wanakuja hapa na uwongo au Faiza Foxy kupindisha ukweli ili theme yao ionekane believable. Mohamed ameshindwa kujibu ilikuwaje baba yake Sykes ashirikiane na Wajerumani kupambana na Waislamu na wakati huo huo mwanae awe shujaa wa Waislamu walioleta uhuru. Hawawezi kujibu.
Prof. Haroub Othman said:I want first of all to thank the East African Students Society, and the University of Cape Town in general, for organising this occasion to commemorate the death of Mwalimu Julius Nyerere; and for inviting me to give this lecture on someone I very much respect and admire. In my life I have met many African leaders, and if I could mention a few, and in order not to cause offence, only dead ones: Kwame Nkrumah of Ghana, Ahmed Sekou Toure of Guinea, Ferhat Abbas of Algeria, Augustinho Neto of Angola, Samora Machel of Mozambique, Amilcar Cabral of Guinea Bissau and Cape Verde, and Oginga Odinga of Kenya. I have also met several South African leaders, including historic personalities such as Oliver Tambo, Yusuf Dadoo, Walter Sisulu, Govan Mbeki, Alfred Nzo, Duma Nokwe and Joe Slovo. But Mwalimu Nyerere was not just a leader; he was a statesman. I have deliberately avoided calling him a politician, because politicians come and go. Statesmen live on - the impact of their presence in society is felt for many years after their death. If I can paraphrase William Shakespeare, the good they do lives after them. I found Mwalimu Nyerere to be most articulate, supremely good at putting complex issues in very simple language and very effective in relating to his audience.
Bibie,Huo ni ukweli usiopingika, "ng'ata" "ng'atuka" hata mtoto mdogo analiona hilo. Nyerere aliujenga yeye msikiti Butiama? au mkewe ndio aliujenga baada ye Nyerere kufa? katika hili pia huna.
Halafu umesema "wanakuja hapa na uwongo" hapa ndio kuna hizo mada za ng'ata na msikiti wa butiama? au unataka kuharibu mjadala wa watu kwa makusudi, yapeleke kule kwenye hizo mada.