Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Mfumo kristo kwa mujibu wa watu fulani fulani wanaojifanya hamnazo ni mfumo unaowapendelea wakristo kwenye nyanja za siasa na elimu. Kwenye kuchambua mfumo kristo mashabiki wake hufanya juhudi zote kuzuia kuvuka mipaka ya "waislamu" kuonewa kwenye siasa na elimu kwani kwa kufanya hivyo nadharia yenyewe ya mfumo kristo itakufa kifo cha mende.
Lakini kundi hili la wapotoshaji wanajifanya hawajui kwamba wakristo si kitu kimoja na wamegawanyika sana kifalsafa, kiitikadi, mapokeo na vitu vingine vingi tuu. Walutheri wanaona wakatoliki ni watu waliozuia injili kupokelwa kama ilivyokuwa toka kwa mitume. wakati huo huo Anglican ni dhehebu la Kiingereza kwa maslahi ya Malikia wa Uingereza na wao na Mashoga ni damudamu. Hayo madhehebu yaliyotangulia kutajwa na yale madhehebu ya kiroho mitizamo yao ni mbingu na Ardhi. Sasa huo mfumo kristo utafanyaje kazi!!
Kwenye kujadili jinsi Mwalimu alivyowafanyia "madhila" "waislamu" hairuhusiwi hata kidogo wakati wa kuonyesha "ubaya" wa Mwalimu kutaifisha shule za "waislamu", kusema pia shule za wakristo wakati Mwalimu anataifisha za "waislamu" zile za wakristo zilikuwa nyingi zaidi na zilikuwa zimetapakaa nchi nzima.
Hata leo wale wanaodai shule za Aga Khan Zilikuwa ni za "waislamu" hawana mahali wanaweza kutuonyesha hati za viwanja vya shule hizo kama zimeandikwa zinamilkiwa na "waislamu" badala yake wakristo wanazo hati za viwanja na kumbukumbu za jinsi walivyozijenga shule zao ambazo zilitaifishwa na Mwalimu.