Nawe uhongere weee!Hongera sana kwa kufaidika na mfumo Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe uhongere weee!Hongera sana kwa kufaidika na mfumo Nyerere.
Nawe uhongere weee!
Hongera sana kwa kufaidika na mfumo Nyerere.
Alaa au unataka niandike shule ulizosoma? mbona elimu yako yote imetokana na huyo huyo Nyerere leo unaweza hata kujadili maswala mazito hapa JF..Nihongere nini na kisa changu cha elimu na Nyerere nimeshakieleza humu?
Alaa au unataka niandike shule ulizosoma? mbona elimu yako yote imetokana na huyo huyo Nyerere leo unaweza hata kujadili maswala mazito hapa JF..
He! mara hii mfumo huo "wenye dhulma" umebadilika jina au iko mingi?
Kitu kimoja nilicho na hakika nacho kwa asilimia 100% ni kwamba wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa taifa letu la Tanzania wanasita sana kuchangia hii hoja inayofinyangwafinyangwa na huyu anayejiita Mohamed Said.
Mkuu nimekujibu..
Narudia sijashambuli kabila..lolote
Nimesema jifunze lugha za mfano..
Yeah!Pole mkuu..
Hayo maisha mazuri nini? (very subjective term)
Nasisitiza waislam hawafundishwi na mtu kama wewe wala hawasubiri michango yako ili waendelee..far from that..
Kinachoitakiwa na kuondolewa Dhulma wanayofanyiwa waislam Tanzania
Na kuondoa upendeleo unaofanywa na serikali (kutumia pesa za umma) ku-finance shughuli za kanisa..
Hayo ya maisha mazuri ni misifa isiyo na tija kwenye mjadala huu..kwani hunifahamu sikufahamu
Ukistaajabu Ya Mussa... Maana Mfumo Kristo linawaudhi, kwa hiyo tuuite mfumo Nyerere.
Watu wanapozungumzia "Mfumo Kristo" yumkini wanamaanisha "Mfumo wa Nchi za Magharibi" au hivi ni vitu viwili tofauti?
Sasa, mathalan mnafanikiwa kuubadilisha, mtaweka mfumo upi? Ule wa Iran? Ule wa Saudi Arabia, au ule wa Taliban Afghanistan?Haswaaa, kwa kupatia mambo weyee, na huo ndio mfumo aliotuletea Nyerere.
Haswaaa, kwa kupatia mambo weyee, na huo ndio mfumo aliotuletea Nyerere.
Mag3, napitia "nondo" zako na nataka ufafanuzi:
1) Naomba tuonyeshe ni wapi hoja imefinyangwafinyangwa.
2) Huyo hajiiti, bali sisi ndio humuita jina lake alilopewa kwao. Hivi wewe hujiita mwenyewe?
Twende taratibu tutafika. Usinijazie mlolongo wa maandishi mpaka nikashindwa kukuelewa ndio maana nafupisha "nondo" zako ili tuzichambuwe kwa raha kabisa.
Haswaaa, kwa kupatia mambo weyee, na huo ndio mfumo aliotuletea Nyerere.
Hongera sana kwa kufaidika na mfumo Nyerere.
Sasa, mathalan mnafanikiwa kuubadilisha, mtaweka mfumo upi? Ule wa Iran? Ule wa Saudi Arabia, au ule wa Taliban Afghanistan?
Mzee Mohamed, sisi watu wa pwani tunatabia moja ya kujipenda tu.Wanaukumbi,
Mimi nakulaumuni kitu kimoja.
Kuna watu watakuja na maswali ambayo wenyewe wanaona magumu sana nami nitamwaga data.
Kimyaaaaaaa! Mwanaukumbi hata mmoja hanipi mji wala nafasi ya kutoa salam.
Kuna mtu juzi au jana kanambia mie ninasema haya ninayosema baada ya Baba wa Taifa kuwa hayupo.
Nikamwaga historia yangu hapa nzima.
Kimyaaaaa!Basi si angalau hawa jamaa wanaonifanya mimi "punching bag" wakarudi na kusema, "Mkuu nimekusoma."
Vibaya hivyo ndugu zangu.Mohamed