Historia ya uhuru kama ilivyoandikwa na Ramadhani Makero

Wanalazimisha tuwatambue wehu wengine waliokuwa wanashinda kwenye bao wakati mwalimu yupo busy kuweka mikakati ya kuikomboa Nchi

Hawa wazee ni kuwaacha tu wanamatatizo mengi
Tatitzo kubwa ni udini umeathiri fahamu zao
Mkuu lazima tukubali kuwa kazi ya kuipigania uhuru hakufanya mwalimu pekee yake kama mdau mmoja alivyoandika japo Mwl alifunga goli la ushindi si vibaya kuwafahamu wachezaji wenzake walioshirikana kutafuta goli/ushindi.
 
Zamani nilikuwa nikizisoma makala za huyu Mzee Mohamed Said ki-ushabiki na nikaona anawatukuza zaidi waislamu wenzake!

Baadae nilipoanza kumuelewa nikaja kufahamu kuwa he knows a lot about our past!

Kuignore mchango wa "wenye majina ya kiislamu" katika ukombozi wa nchi yetu ni kujitia upofu usio na faida.

Ligi za sijui huyu ni Bora kuliko huyu hata hazitujengi zaidi ya kutuvuruga.

Kikubwa wenzetu walipambana, nasi tukapata Uhuru!

Tanzania ni yetu sote wenye dini na wasio na dini, let truth be revealed as nothing poison here.

Binafsi nikushukuru Mzee wetu Mtoi Kwa historia nzuri ya nchi yetu as tunapata Mengi ambayo hatukuyasoma shuleni.

Naupenda Sana na kujifunza kupitia uungwana na unyeyekevu wako!

Ubarikiwe
 
Wanaosoma kitabu chako Ni tayari wana nadharia km zako kichwani

Mimi nimesoma vitabu vingi vya Uhuru lkn siwezi kusoma kitabu chako kwa sababu vimejaa bias
Na kumbuka vitabu vyako sio reference vitabu vyako ni vihadithi vya kuunga unga tu

No one take it for serious
 
Mzee Mohamed Said anaweza kuwa alijua , mengi juu ya machache au machache juu ya mengi.. Shida ilipokuja ni pale mtu anapoegemea kwenye angle ya uislam au watu wa pwani zaidi, bila kuonyesha mchango wa watu wa maeneo mengine kwenye uhuru wa Tanganyika. Pengine, watafiti wengine wanaweza wakafanya hayo. Kwa sababu Tanganyika ilikuwa kubwa, lazima kuna watu wana michango ya aina mbalimbali.. Ni kama sasa hivi kufikiri maendeleo ya Tanzania yanatokana na mikoa fulani au watu fulani pekee. Safari ya ufahamu bado ndefu.
 
Mwalimu ndo' mzalendo no 1 wa Taifa hili.Hakuna mwengine wa kuchukua hiyo no,baada ya yeye ndo wanafuata wengine.
 
Pindisha maneno,refusha...Mfadhili mkuu wa TANU ni John Rupia,huo ni ukweli utasimama mpaka kiama unaochoma nyoyo yako kwasababu ya jina lake na dini yake.
 
Niliposoma tu hili bandiko nikawa namwona mzee wangu Mohamed Said, na nilijua tu atatokea sio muda.... shukrani pia mtangulizi Sky Eclat heshima kwenu mzidi kutufunza na kutukumbusha.
 
Sasa maandishi ya soga hutaki kupingwa?huo umekuwa 'msahafu'?
 
Nafurahi sana ninaposoma historia halisi kuliko hizi tunazolazimishiwa.
 
nilitaka sema nami mda si mrefu huu uzi watu watauchafua...
 
Pindisha maneno,refusha...Mfadhili mkuu wa TANU ni John Rupia,huo ni ukweli utasimama mpaka kiama unaochoma nyoyo yako kwasababu ya jina lake na dini yake.
Lukubuzo,
Mimi nimechangia tu kwa kile nikijuacho una uhuru na haki ya kuamini utakavyo.
 
Japokua ni kweli ila kama Mzee Mohamed Said asingekua na uthubutu wa kusema hayo michango ya hawa watu ingekua imefutika kabisa katika historia.
 
Newazz,
Hayo usemayo yote yamo kwenye kitabu cha Abdul Sykes.

Mtafute kitabu umsome Mama bint Maalim, Bi. Halima Selengia, Yusuf Olotu hawa kutoka Moshi.

Umsome Yusuf Chembela, Salum Mpunga, Bi.Sharifa bint Mzee na Sheikh Yusuf Badi wa Lindi.

Umsome Haruna Taratibu na Omari Suleiman kutoka Dodoma.

Usiingie katika mjadala bila kuwa na uelewa wa kinachojadiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…