Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Flash back style, inaruhusiwaUandishi mbovu sana, nyuma mbele mbele nyuma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flash back style, inaruhusiwaUandishi mbovu sana, nyuma mbele mbele nyuma!
Hesebu vzr.Nimepiga kambi apa nasubili sehemu inayofata kwa hamu.
Japo kufikia apa nmegundua askari wa JWTZ walokufa vitani ni wachache saaana , lakini mboona kambi ya KABOYA wilaya ya MULEEBA ambapo kumbukumbu ya mashujaa imeifadhiwa kuna makaburi ya askari weeeengi saaaana takrbani mia 4.
Nakufikia apa inaonekana walokufa hawafiki ata 50.
shukran saaana bwaaana NDIKUMANGENGE.Askari wrote waliokufa vitani ni 614 ikiwa nipamoja na askari wa kigeni waliokuka kutupa msaada angalalia vizuri mnara wa mashujaa wa vita ya Uganda kaboya uliopo mkoani kagera
Tupe muendelezoKesho naendelea na sehemu inayofuata
huo mnara uko sehemu gani? Nilifika mpaka Mutukula sijaona mnarashukran saaana bwaaana NDIKUMANGENGE.
Ulifika pia kambi ya Kaboya-Muleba?Uhuo mnara uko sehemu gani? Nilifika mpaka Mutukula sijaona mnara
Cheki ulivo liongo!Kesho naendelea na sehemu inayofuata