MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Ukitaka orodha ya Mabunge yanayo pitisha sheria za hovyo basi Bunge la Tanzania hupaswi kuliacha kabisa.
Pale Dodoma Bunge limegeuka kuwa taasisi ya kupitisha kula kinacho pangwa na Serikali, haijawahi tokea wakakipinga hata ile ya kinafiki.
Kila kinachoplaniwa na Serikali lazima wakipitishe kwa asilimia zote hata kama baadae kinakuja kuonekana kilikuwa hakifai.
Kuna Historia ya nchi nyingi Mabunge yao kuvamiwa na hata kuchomwa moto kisa tu ni kupitisha sheria ambazo zinaonekana dhahiri kuwaasili wananchi.
Moja ya hizo nchi ni kama ifutavyo:
- Bunge la Macedonia mwaka 2017 lilivamiwa na wananchi walio kuwa na hasira.
Ni kwa Bahati nzuri sisi ni kondoo na Watanzania hawataki fujo ila ukweli hatuna Bunge kwa ajili ya kutetea Maslahi ya Wananchi bali kutetea maslahi ya watawala.
Tujiulize kama Rais anaona kweli kuna tatizo kwenye tozo; je Wabunge kwa hio miezi mitatu kule Bungeni hawakuona hilo tatizo?

- 2013 Bunge la Misiri lilitiwa kiberiti na waandamanaji.
- 2017 Bunge la Paraguaji pia lilichomwa moto na Waandamanaji.
- 2016 Gabon pia Bunge lao lilichomwa moto.