Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

Historia ya Wanyakyusa kufahamika zaidi kuliko Wasafwa ambao ni wazawa halisi wa Jiji la Mbeya

Na nyie Wanyakyusa tuyaseme yenu au tukae kimya?

Wanawake zenu kazi yao kuza mbunye tu. Wanaondoka na mikungu ya ndizi 5 na mapalachichi 20, anasema anakwenda kuuza Mbeya. Anamuacha mume hata mwezi, na wanaume hawabishi. Kumbe wanauza "K" tu Mbeya
Suala la kupewa K Mbeya ni la makabila yote.
Yaani Mbeya huo imeishakuwa utamaduni, hata wachaga, wabena, wahehe; wangoni waliohamia Mbeya wanagawa kwa spidi.
Mwanamke wa kisafwa atakuja kukusaidia kazi ya shamba na k unaweza pewa ukitaka.
Kwa sasa umalaya imekuwa biashara ya makabila mengi sijui kama lipo lililosalimika.
Umalaya umekuwa utamaduni wa mwanamke Mweusi wa kiafrika.
 
Pamoja na yote.Wasafwa na wanyakyusa na wakinga na wandali hao watu wameishakuwa kama jamii moja. Wanashirikiana kila kitu, mabaya na mazuri. Hao watu wameisha oana sana kilichobakia ni utani tu.
Utamaduni wao unafanana sana.
 
Laiti wasafwa wangebaki kwenye huu mji huenda wangekuwa na maendeleo sana an kufahamika zaidi kuzidi wanyakyusa, mji huu ulikuwa ndio makao makuu ya mkoa wa Mbeya lakini hii bahati wakaichezea na. wasafwa waliletewa hivi vitu vizuri hapa mjini ila wakavikimbia.
Basi ujue wasingeweza kuwa na maendeleo maana walikuwa na fikra hasi.

Pia ukumbuke kuwa Wanyakyusa walikuwa na shule zilizojengwa na wakoloni wakati ule. Wanyakyusa wengi walikuwa wameelimika.
Na Tukuyu mjini palikuwa na maendeleo makubwa kuliko Mbeya.

Hivyo serikali ilipoamua kuiweka Mbeya kuwa makao makuu wanyakyusa wengi waliweza kushika nafasi katika maofisi kulingana na elimu waliyonayo.

Kuhusu kwenda milimani haujasema ni milima ipo walienda na unaweza kuwakuta au kuikuta historia yao huko.

Katika mkoa wa Mbeya hakuna milima ambayo unaweza kusema ndio sehemu walioko Wasafwa walioukimbia mji.
 
Back
Top Bottom