Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndio asili yao ndguSijui kwanini wanyakyusa wanajisikia sana na kupenda kujisifia ilihali ukimwangalia unaona kabisa ana kipato na maisha ya chini sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio asili yao ndguSijui kwanini wanyakyusa wanajisikia sana na kupenda kujisifia ilihali ukimwangalia unaona kabisa ana kipato na maisha ya chini sana
Correct!Mkuu nakubaliana kwa kiasi na maoni yako.
Ikumbukwe kuwa kabila la wasfwa na wahehe wamefanya kazi kubwa sana kutokea enzi za machifu kama Merere kuondoa au kukinga utumwa kuingia Mbeya.
Wasafwa walikuwa na jeshi kubwa sana lililowazuia waarabu kupita nyanda(plains) za kuanzia Mbarali, Kapunga na Chimala.
Ndio maana utakuta nyanda za juu kusini kuelekea Mbozi, huwezi kukuta influence kubwa za waarabu, na hata wazungu.
Bado huijui Mbeya. Hata Dar es Salaam kuliko jengeka kupo kama Masaki, Oysterbay na Mbezi au Mikocheni.Kiujumla Mbeya ni kwetu, lakini Mbeya hawana mwamko kabisa wa kujenga nyumba nzuri na mipango miji inayoleweka.
Na nyie Wanyakyusa tuyaseme yenu au tukae kimya?Si walikuwa wanakimbia shule,wamisionari waliwaletea elimu wakawa wanachoma moto majengo,mwisho wakapeleka elimu Unyakyusani.Kazi kunywa pombe tu,labda kulima ndio wanajua
Pole sana,kwanza mimi sio Mnyaki na Mbeya nilienda kusoama laiki Wasafwa nawajua vizuri,naona umepanic kwa kuambiwa ukweliNa nyie Wanyakyusa tuyaseme yenu au tukae kimya?
Wanawake zenu kazi yao kuza mbunye tu. Wanaondoka na mikungu ya ndizi 5 na mapalachichi 20, anasema anakwenda kuuza Mbeya. Anamuacha mume hata mwezi, na wanaume hawabishi. Kumbe wanauza "K" tu Mbeya
mfikemo ni msafwa? sio don?Kwa sasa jiji limepanuka sana limefikia mpaka sehemu walizohamiaga hapo zamani imesaidia nao wawe wanachangamana na wageni, wengine nao wameamua kurudi mjini kutoka huko milimani, mambo ya kukaa peke yao nadhani yaliwagharimu sana hivyo wameamua wajichanganye tu.
kuhusu uoga sidhani ila labda ni ile tabia yao ya kuhama kwenda kuishi kivyao ndio ilileta fikra hii, kwa upole naweza kubaliana na wewe huwaga hawana mambo ya vurugu.
Don wa kisafwa kwa hapa Mbeya sijamjua, kwa wanyakyusa wenye mendeleo angalau wapo wapo hasa walioajiriwa ila sijaona wa kufikia anga za madoni, Madoni wengi wa hapa Mbeya kwa sasa ni wakinga na wageni wengine wanaomiliki maduka makubwa, mahoteli, makampuni, viwanda, n. k
Sema kabila lako hapa tulinganishe na la kwetu.Pole sana,kwanza mimi sio Mnyaki na Mbeya nilienda kusoama laiki Wasafwa nawajua vizuri,naona umepanic kwa kuambiwa ukweli
Lakini ndio wanaomiliki mji, wasafwa wamebaki historia kwamba "waliwahi kuwa wenyeji", sababu kuu ndio hio kama aliyoleta meta mada, badala ya kuchangamkia fursa wao walikuwa wanawapisha wanyakyusa wazifaidi kwa sababu ya kuogopa kuchanganyana ili kulinda tamaduni zao.Binafsi nilijua Mbeya yote ni Wanyakyusa ila nilipoenda ndio nikajua mji wa Mbeya ni mji wa Wasafwa Wanyakyusa kwao Rungwe,Busokelo na Kyela
Endelea kukalia majungu tu,Wanawake zenu kazi yao kuza mbunye tu. Wanaondoka na mikungu ya ndizi 5 na mapalachichi 20, anasema anakwenda kuuza Mbeya. Anamuacha mume hata mwezi, na wanaume hawabishi. Kumbe wanauza "K" tu Mbeya
Lakini ni wauza "K". Umalaya hauna kisomo. Hata mama yako aweza kuwa alikuwa malaya na ukazaliwa weweEndelea kukalia majungu tu,
Wanawake unaowaponda wameelimika wana vyeo vikubwa serikalini, ni maprofesa, n.k. mfano mdogo tu ni mbunge wa Mbeya hapo, Tulia Mwansasu.
Mbeya ni kama Dar es Salaam ambayo ni Makao Makuu ya nchi na Wazaramo wamesogea pembeni na makabila yote ya nchi hii yako hapa.Lakini ndio wanaomiliki mji, wasafwa wamebaki historia kwamba "waliwahi kuwa wenyeji", sababu kuu ndio hio kama aliyoleta meta mada, badala ya kuchangamkia fursa wao walikuwa wanawapisha wanyakyusa wazifaidi kwa sababu ya kuogopa kuchanganyana ili kulinda tamaduni zao.
- POWER - Vyeo vya uongozi na siasa vingi Mbeya jiji ni wanyaki,
- EDUCATION - Shule nyingi nzuri binafsi na za wazazi wanyaki wamerundikana
- AJIRA - kwa kuwa wengi wameelimika, ajira za Mbeya wamezoa
- MAKANISA - Hlli halina mjadala, wachungaji na waimba gospel maarufu TZ wanatokea Mbeya
Kuweka maelezo sahihi ni kwamba, Wasafwa walipinga ukoloni na mambo yake yote. Kumbuka ukoloni uliambatana na ujenzi wa shule, Mahakama, ukulima wa mashamba makubwa (ardhi walipokonywa wenyeji) nk. It is not surprising kwamba Wachagga waliokubali ukoloni walielimika Mapema kuliko Wapare, Wahaya walielimika mapema kuliko Wanyambo na Wahangaza nk. The same kwa Wanyakyusa, waliukubali ukoloni mapema kuliko Wasafwa. Kabila gani halinywi pombe labda?Si walikuwa wanakimbia shule,wamisionari waliwaletea elimu wakawa wanachoma moto majengo,mwisho wakapeleka elimu Unyakyusani.Kazi kunywa pombe tu,labda kulima ndio wanajua
Ukisikia majina haya, jua ni Wasafwa, ingawa mengine machache kama Mwaipopo yanaingiliana na majirani zao WanyakyusaMajina ya koo za kisafwa ndo kama yapi wakuuu...huwa siwajui kabisa....
Huwa wanajitangaza sana nowadays. Ingia youtube tafuta Awilo wa Mbeya ama Wamwiduka Band, hawa ni waimbaji wa nyimbo za Kisafwa ambao wametumbuiza mpaka Sauti za Busara, Bungeni Dodoma na matamasha makubwa makubwa ya ndani ya nchi. Mwaka juzi walikuwa na tamasha la utamaduni wao pale Makumbusho Dar. Video za tamasha hilo zipo YouTube.Wasafwa nao wajitutumue kujitangaza tamaduni zao.
Wasitegemee watu kutoka nasaba nyingine kuwabeba. Wajibebe
Thank u....Ukisikia majina haya, jua ni Wasafwa, ingawa mengine machache kama Mwaipopo yanaingiliana na majirani zao Wanyakyusa
- Mwalyego
- Silinjaje
- Ngobhe
- Mukeya
- Mukinga
- Tuyagaje
- Tuyangine
- Mwaifwani
- Nzunda
- Ndele
- Mengo/Mwamengo
- Nyalile
- Mwangunda
- Mwamboneke
- Mwambabe/Mbambe
- Nsunye
- Mwanjanye
- Mahinya
- Mlozi
- Sijabaje nk.
Hili kabila ni watu wachafu ni wa ajabu ajabu huko mbeya wanamsemo afadhali mnyakyuza Malaya kuliko msafwa mchafu.Yani hii Tanzania ukienda mikoa nje ya Mbeya, ukiuliza jiji la Mbeya linakaliwa na kabila gani, fasta mtu anakujibu wanyakyusa lakini ukweli ni kwamba wasafwa ndio wenyeji wa kihistoria na hata hili jina la Mbeya lina asili ya neno la Kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi, kilotokea nini hadi wasafwa wakapoteza utambulisho wao wa kufahamika kuwa wenyeji wa jiji hili ?
ni kwamba nchi ilipopata uhuru, Mbeya jiji ikapewa hadhi ya kuwa makao makuu ya mkoa wa Mbeya, wanyakyusa waliokuwa wilaya za karibu kama Rungwe na Kyela walianza kuja kwenye makao makuu ya kupata huduma za kijamii bora, kusoma, kufanya biashara, n.k.
Muda huo wakazi wa mbeya mjini wengi walikuwa ni wazawa ambao ni wasafwa, shida ikaja kwamba wasafwa wakiona wageni walikuwa hawataki kuchangamana na jamii zingine, ilikuwa ni kwa sababu za kulinda na kuzithamini zaidi tamaduni zao zisiingiliwe na makundi mengine, hivyo walikuwa wakiona kuna wageni wenye tamaduni tofauti, wao wanahamisha makazi kwenda sehem ambayo wapo peke yao. mji ulizidi kupanuka, wanyakyusa na wageni wengi zaidi walifikia Mbeya mjin, hii ilileta usumbufu kwa wasafwa kuhama hama mji unavyozidi kupanuka, ikafikia kipindi wengine wakaanza kukimbilia maeneo ya mbali zaidi milimani. Kwa wakati huu wote wanyakyusa na wageni wengine walifikia muafaka kwamba wasafwa wanahama kwasababu ni waoga, ila kwa uhalisia wasafwa walikuwa wana sababu zao za kitamaduni.
matokeo yake hapa mjini makabila ya ziada yaliyofika kama wanyiha, wandali, wakinga, wahehe, wangoni, wabena, n.k. wao wakawa wanajua huu mji ni wa wanyakyusa maana wakifika mjini wanakutana na wanyakyusa wengi, Pia wnyakyusa wengi waliwahi kutoka nje ya Mbeya kwenda mikoa mingine kikazi, kielimu, siasa, n.k. hivyo watu wa mikoa waliyofikia walijua Mbeya ni ya wanyakyusa. wakati huo wasafwa waliokuwa wenyeji original ilikuwa ngumu kuwajua sababu walikuwa wanaishi mbali ya mji na maeneo yasiyofikika kirahisi ikawa vigumu kwa watu wa mikoa mingine kuwajua.
Laiti wasafwa wangebaki kwenye huu mji huenda wangekuwa na maendeleo sana an kufahamika zaidi kuzidi wanyakyusa, mji huu ulikuwa ndio makao makuu ya mkoa wa Mbeya lakini hii bahati wakaichezea na. wasafwa waliletewa hivi vitu vizuri hapa mjini ila wakavikimbia.
-serikali ilijenga shule nyingi ila wasafwa walizikimbia, wakawaachia wanyakyusa na wageni wengine.
-Serikali na makampuni yalitoa nafasi za ajira lakini wasafwa walikuwa mbali, wanyakyusa na wageni walizifaidi
-mji ulianza kujaa na kukawa na fursa za biashara ambazo wasafwa wangeweza kupata pesa lakini kujitenga kwao kukaliacha soko wazi kwa wanyakyusa na wageni wengine.
-madaraka, vyeo na teuzi serikalini za kuongoza mji huu wakawaachia wanyakyusa na wageni wengine, nafasi hizi zilitumika na wanyakyusa kuwekana maofisini na kupeana vyeo.
-viwanja vingi waliviacha ama kuviuza na kukimbilia milimani kusiko hata na huduma za jamii, n.k. leo hii nyumba nyingi maeneo ya mjini ni za wanyakyusa japo kwa sikuhizi wageni wengine nao wanajenga sana,
Ni historia yenye kusikitisha ila ina funzo kubwa sana, mkataa kwao hugeuka mtumwa.
Mwisho kwa kuhitimisha naweza kutoa ushauri kwa wasafwa kwamba historia haiwezi kubadilika itabaki kwajili ya kujifunza lakini mnachoweza kubadilisha ni future kwa kuanza kutia bidii muda wa sasa (present)
- wasafwa mzingatieni sana elimu pambanieni na ikibidi mjinyime watoto wasome shule hasa za private na jumuia ya wazazi zilizojaa tele Mbeya jiji, mhakikishe watoto wafike vyuoni nanyi mjae jae maofisini na vyeo.
- mjipanue na kutafuta fursa mpya za kibiashara na kujiajiri, Mbeya ni jiji lina watu wengi wenye mahitaji mengi muangalie ni sehemu zipi mnaweza kuchota pesa.
- muwe na bidii ya kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa na uongozi kwenye huu mji wenu, mpambanie nafasi za kupaza sauti ya kero zetu wageni wa mbeya na zenu wazawa halisi wa mbeya.
-msaidiane na kubebana ili walio chini nao wawe na maendeleo, roho za umimi na ubinafsi haziwezi leta maendeleo