Historia ya wanyaturu

Hapa umefanya contradiction ya msimamo wako wa awali.
 
Acha kukebehi ... Usukwa lau?
 
Hii elimu ya siku hizi ni majanga! Watakuwaje "Nilo-Hamites" halafu wawe "Wabantu" wakati huohuo?

Ama Wabantu ama Hamites.

Msitulishe ujinga mliojazwa nao mashule ya kufundishana ujinga.
Watu wanaenda shule kujifunza ujinga.
Hata Mimi nimeshangaa kuwa mbantu halafu nilotes wakati mmoja.
 
Point
 
Well said
 

Nimejaribu kufuatilia conversation na allegations zako dhidi ya hili kabila lililoletwa katika thread. Nimeisoma thread yenyewe, mleta mada hajaongelea saana tabia za wahusika unazowatuhumu nazo. Mategemeo yangu ilikuwa wengine tukijikite kujadili contents za thread, lakini mwenzetu umejikita kuwavua nguo (kuwaaibisha na kuwapaka matope) watanzania hawa. Katika hali ya kawaida nnavyojua mimi, dunia hii achilia mbali Tanzania hii, hakuna kabila lisilo na kasoro hata moja. Labda wewe utwambie umetokana na MALAIKA sio binadamu.
Simple analysis zangu zinanifanya nihisi wewe una Psychological Problems. Na unahitaji immediate counseling.
Please waone wanasaikolojia wakusaidie una shida
 
Anza wewe pia una shida
 
Kumbe ndugu zetu hawa wanyaturu wametoka mbali hivi,BTW kwanini hawakuwa na Uchifu?au waliona machifu ni mzigo?
 
Kwanini historian za makabila. Makabila Mengi wanasema wametokea Kushi(Ethiopia)
Nafikiri Wamasai katika historia ndio waliotoka huko.

Ila Wabantu wooote asili yao ni Cameroon wakasambaa central Africa, kusini na wengine wakabaki huko magharibi.

Wa kusini ndio wakawaleta wangoni wa East Africa na wa Malawi wakawaleta wayao

Wamedi/wairaq wakawaleta wambulu

Waethiopia + wasudan wakawaleta Wamasai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…