Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Unaongea kama umepigwa funguo!๐ ๐ ๐ ๐ ๐ dawa imeingia.Ndio maana hata mkuu wa kaya aliwaambia mzidi kuzaliana.Ndivyo mlivyo mzee, hiyo Mpumbavu sana wewe ndio sentensi zao kuu sana huko.Mshukuru sana wa kuja ndio wanafumbua macho sasa hivi.Mana mkitoka Moshi,Arusha na Dar huwa hamsalimii kabisa wenzenu.Mnbadilika kuanzia kuongea mpaka kutembeaa..angalia huko Moshi unakotokea hakuna watu wa ajabu ajabu na mambo ya ajabu kama yako.Tena mlivyo na mambo duni daah...umethibitisha hapa.
Ongea kwa vituo,umejaa mihemko kama mwanamke!
Relaxxxxx.....
Toa hoja ueleweke,pia tumia paragraph,utadhani uliishia la kwanza!
Sijaelewa kabisa unazungumzia Wachagga au unazungumzia Wanyaturu?
Moshi na Arusha ni duni?Listen to yourself!
Halafu unatoka wapi wewe mpaka unatukana makabila ya wenzio namna hii?
Sijui haya madaraka unayapata wapi?