adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Hata ungetokea wapi tayari moja ya tabia kuu zenu watu ni kujaa upepo kama wewe hapo.watu wa Moshi hawana akili finyu kama zako.Huo mkoa wenu na ni kati ya mikoa duni kabisa kimaendeleo na sifa kubwa uchawi,wanga mwingi ..roho mbaya na hawachangii lolote kwenye hata maendeleo yao binafsi.Kila kitu mnataka bure.Ndio maana hata mbunge wenu yule ameweza kucheza na akili zenu kawaacha kama mlivyo.Badilikeni mpunguze kuwa watu wa ajabu ajabu.Sijui wewe ni nani uwapangie wao kitu cha kuamini
Waache na ardhi yao,waache na mila zao
Wewe unazo za kwenu,kama zenu ni bora ni zenu,na wao wanaona zao bora
Hakuna ustaarabu eti wa jamii fulani una hold superiority over the other!
Waache,fanya yako!
Natoka Moshi by the way!
Na moja kati ya sifa yenu kuwa ni kupaona Arusha na Moshi ni bora zaidi kama ulivyo fanya hapo mwisho maana ndio sehemu kuu mnazokimbilia namkirudi huku kwenu hamgusiki...
''Singida is one of the regions of Tanzania. The regional capital is the municipality of Singida. The region is bordered to the North by Shinyanga Region, Simiyu Region and Arusha Region, to the Northeast by Manyara Region, to the East by Dodoma Region, to the Southeast by Iringa Region, to the Southwest by Mbeya Region and to the West by Tabora Region. It is one of the poorest regions in Tanzania.''