Historia ya wanyaturu

Historia ya wanyaturu

Mkuu acha kabisa.....najua wakiruhusu muingiliano wa makabilamengine itawasaidia kutoa roho za umaskini na kutopenda watu wa kuja kusonga mbele na kuleta maendeleo kwenye wilaya zao.Kama wataendelea kuwa hivyo basi wimbi la Umaskini kamwe halitowaacha salama...

Sijui wewe ni nani uwapangie wao kitu cha kuamini

Waache na ardhi yao,waache na mila zao

Wewe unazo za kwenu,kama zenu ni bora ni zenu,na wao wanaona zao bora

Hakuna ustaarabu eti wa jamii fulani una hold superiority over the other!

Waache,fanya yako!

Natoka Moshi by the way!
 
Kwanza jinsi nilivyokaa Tanzania hii sijawahi ona watu wanaroho za umaskini na kwanini kama hawa watu.niwe tu mkweli...hawa watu mpaka wenyewe wanakwambia kabisa pasipo shida kuwa sisi tuone tu hivi...kuna waliostarabika lakini si wanaokaa huko kwenye chimbuko lao.Mwanzo nilikuwa sielewi kwanini Singida Maskini sana..nilipokuja kuishi maeneo yao kwa muda flani..hahahaha.Ndio nimelewa,tabia zao na mienendo yao wacha kabisa...

Again,yale yale!

Yale yale ya kuona ustaarabu fulani ni bora zaidi ya mwingine which is nonsense...

Unatumia skewed lens ya kabila lako ku-view kabila jengine lisilokuhusu!

Ndio shida hizi ya jitu moja kujiona eti jamii yake yeye ndio staarabu na yenye mila bora zaidi ya jamii ingine!

Kuhusu umasikini sijui unatumia vigezo gani vyako wewe ulivyojiamulia kupima jamii zengine?!

Tuseme jamii ya United States of America sababu imeendelea economically ndio watu zaidi ya watu wakiopo Tanzania sababu tu hawana maendeleo ya kiuchumi?

Mpumbavu sana wewe!

Huwezi tukana the entire population ya jamii fulani kwa kutumia vigezo vya jamii yako wewe binafsi!

Upumbavu ulioje!
 
Nshatembea kila mkoa natamani ningejua nasaba yake nimpe nikijuacho maana angekuwa anajiweza ASINGEENDA KUISHI IKUNGI

😂 .
 
Back
Top Bottom