Historia ya Wasubi na Wilaya ya Biharamulo

Ibilisi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
3,465
Reaction score
5,578
Habari za wakati Great Thinkers wa JF...

Mheshimiwa Maxence Melo,

Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, New Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...

Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.

Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.

Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (mkoa mzima wa Kagera umetengwa).

Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja na watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.

"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.

Karibuni...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Wasubi wapo biharamuro mbona ngara pia kuna washubi, haya makabila yanatofautiana au walewale, Rulenge yote ni washubi.

Habari za wakati Great Thinkers wa JF...

Mheshimiwa Maxence Melo,

Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...

Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.

Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.

Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (japo mkoa mzima wa Kagera umetengwa).

Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.

Mama yangu msubi..![emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Story ya abunwasi
 
Wasubi wapo biharamuro mbona ngara pia kuna washubi, haya makabila yanatofautiana au walewale, Rulenge yote ni washubi.
Ngara kuna Washubi
Biharamulo kuna Wasubi

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Hilo la Wasubi kuwa nyuma kielimu linatokana na vinasaba (genetics) vya kabila hilo kuwa dhaifu (weak) kulinganisha na makabila yote mkoani Kagera. Na hiyo imetokana na asili ya eneo la Kabila hilo kuwa na hali mbaya ya hewa kulinganisha na wilaya za Kagera, uwezo wa magonjwa ya trypanosomiasis, malaria na yellow fever ambayo hayajasambaa sana wilaya nyingine kama Biharamulo.
Hata hivyo kwa kuwa Kabila hilo limetokana na jamii za Interlacustrine, ambazo ni bright sana, bado ina vinasaba vingi vinavyofanya kabila hilo kuwa juu kiakili unapolinganisha na makabila yote yenye asili ya Mikoa ya Geita (ukitoa Wazinza), Mwanza (ukitoa Wakerewe na Wakara), Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara, Mtwara, Lindi, Pwani na Dar.
 
Habari za wakati Great Thinkers wa JF...

Mheshimiwa Maxence Melo,

Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...

Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.

Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.

Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (japo mkoa mzima wa Kagera umetengwa).

Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.

"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.

Karibuni...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Wasubi ni jamii ya wanyarwanda. Anzia Rwanda kutafuta asili yenu mliingiaje Bimulo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la Wasuni kuwa nyuma kielimu linatokana vinasaba (genetics) vya kabila hilo kuwa dhaifu (weak) kulinganisha na makabila yote mkoani Kagera. Na hiyo imetokana na asili ya Kabila hilo kuwa na hali mbaya ya hewa kulinganisha na wilaya za Kagera, magonjwa ya trypanosomiasis, malaria na yellow fever ambayo hayajasambaa sana wilaya nyingine kama Biharamulo.
Hata hivyo kwa kuwa Kabila hilo limetokana na jamii za Interlacustrine, ambazo ni bright sana, bado ina vinasaba vingi vinavyofanya kabila kuwa juu kiakili unapolinganisha na makabila yote ya Geita (ukitoa Wazinza), Mwanza (ukitoa Wakerewe na Wakara), Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara, Mtwara, Lindi, Pwani na Dar.
Asante, sasa napata mwanga

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Wazinza, wakerewe na wakara ni jamii bright? Uthibitisho tafadhari!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote ni jamii ya Interlacustrine na ukiacha Wazinza, Wakerewe na Wakara wana mchanganyiko na jamii za watu kutoka Ethiopia -Wagalla ambao ni hamites. Vilevile, jamii hizi zinaishi ziwani na samaki ni kitoweo chai cha asili. Aidha, Hali ya hewa ya jamii hizo hasa Wakerewe na Wakara ili kuwa nzuri almost kama Bukoba huku wakizalisha na migomba.
Sababu nyingine kuu ni kuwa Ukerewe na Ukara (ukiacha Uzinza) hakukuwepo sana magonjwa hatari ya asili hasa trypanosomiasis na yellow fever (licha ya uwepo pia wa malaria). Mwisho maeneo ya Ukerewe na Ukanda yana rutuba kulinganisha na Biharamulo. Kipimo cha ubora wa eneo lolote la vijijini, angalia msongamano wa watu.
Hivyo vitu nilivyovitaja ni muhimu sana kwa kujenga akili za jamii zilizoishi eneo husika.
 
Habari za wakati Great Thinkers wa JF...

Mheshimiwa Maxence Melo,

Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya historia,,, Itifaki imezingatiwa...

Mimi nimezaliwa katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera lakini sijakulia huko hivyo sikubahatika kujua asili yangu hadi nilipokua na kuanza research mbalimbali zisizo rasmi na kupata machache sana kupitia wahenga na mitandao ya kijamii hususani JF.

Lakini maelezo ambayo nimekuwa nikiyapata yanatofautiana kiasi kwamba sielewi niamini lipi niache lipi. Baadhi husema sisi ni jamii ndogo ya wahaya, wengine husema sivyo.

Ni kabila linaloonekana kuwa dhaifu sana ukilinganisha na jamii nyingine za mkoa wa Kagera. Tupo chini kielimu, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, hata "kupenda misifa" ambayo ni asili ya Kagera tupo chini. Sijui hata tujivunie nini kwenye ka-wilaya ketu ambako hata serikali ilishakatenga kwenye maendeleo (japo mkoa mzima wa Kagera umetengwa).

Kwa yeyote mwenye kuelewa historia ya kabila la wasubi, wilaya ya biharamulo pamoja watu maarufu wa kabila hili anaowafahamu atoe mchango wake hapa.

"Jasiri haachi asili"
Sote ni watanzania lakini kuijua asili si dhambi.

Karibuni...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Duuuh mbna ndgu yenu anawakana anajiita ngosha wakati tunajua yeye ni msubi mix na muhaya,ukiona mtu anakana kabila lake jua kichwani mwake iko shida kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasubi ni watu wenye wivu na chuki +wachawi yani ukienda Runazi, Bh na pengine ukianza fanikiwa wanakuletea zengwe.
Hawapendi mafanikio majamaa wale
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] kwahiyo nikienda kule naweza kupata tuition nikawa kama Mshana Jr?

Back
Top Bottom