Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

Inaelekea wale wooote wanaokosoa hawajalifuatilia hili, binafsi nililiona hilo siku nyingi, hongera kwa kuwafumbua wengi walokuwa hawalijui.
 
Ndo nimejua kuwa na Zambia wanatumia melody sawa. Shukrani mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni kweli hata mimi nilijiuliza sana swal hili,nikiuckia wimbo huo kwenye AFCON;

Zambia na South Africa wakiimba tune ya wimbo huo bila kua na majb kamili. Binafsi nashkuru kwa kupata hii elimu.
 
Back
Top Bottom