mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Africanacity (Mizimu yetu na uwepo wa Mungu tu).Dini ya ukweli ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Africanacity (Mizimu yetu na uwepo wa Mungu tu).Dini ya ukweli ni ipi?
Sasa jibu hojaMnataka muwe Wakristo motoni aende nani bakini huko huko kwanza huku nafasi zimejaa.
Ukifuatilia kwa akili haya mambo unapotea mazimaStory ya Yesu
Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi wamefuatilia vizazi vya Yosefu wakati Hana uhusiano na Yesu Kama kweli kazaliwa kwa bikira Mariam.
Mathayo 2:13-15 inasema Yesu alipelekwa Misri baada ya kuzaliwa. Luka 2:22-40 inasema walibaki Bethlehem, wakaenda Jerusalem na kurudi Nazareth, bila kutaja kwenda Misri.
Kifo Cha Yuda kinasemwa na Mathayo 27:5 kuwa alijinyonga Ila Matendo ya Mitume 1:18 inasema alianguka shambani na akafa.
Yohana 19:17 inatuambia alibeba msalaba wake, Marko 15:21-23 inasema Simoni alimbebea msalaba.
Kila kitabu Cha injili kinasema maneno ya Yesu ya mwisho tofauti Kila injili inachanganya tukio la kufufuka kwa Yesu. Marko 16:2 inasema ilikuwa asubuhi, Yohana 20:1 inasema ilikuwa usiku.
Mathayo 28:2 inasema alionekana malaika mmoja, Yohana 20:11-12 inasema malaika wawili. Marko 16:5 inasema mwanaume mmoja Luka 24:4 inasema wanaume wawili.
Hitimisho: Story ya Yesu inasemekana imeibiwa kutoka dini za kihindi, kipersia, kimisri, kigiriki na kirumi. Miungu yao mingi ilizaliwa December 25, ilizaliwa kutoka kwa Bikira, ilifanya miujiza, ilikufa na kufufuka.
Ina maanisha story ya Yesu sio original na iliundwa na watu tofauti tofauti ndo maana hata vitabu vya dini kuhusu yeye vinajichanganya kuhusu maisha yake yalivyokuwa. Kama ukristo mzima unategemea story hii na Ina makosa kihivi, je Biblia litakuwa neno halisi kutoka kwa Mungu au utunzi wa Binadamu?
Mkuu upo DEEP sana na una hoja,usipuuzwe..hao jamaa achana nao,ni EMPTY BOXES...Sasa hata kama hujui maana ya mfano basi wewe ni impossible. Ngoja nisipoteze muda wangu.
Wewe hata ukijibiwa hutobadilika kamwe, Kafiri mkubwa wee.Sasa jibu hoja
Hapo Itakuwa umekasirika na wala hukujibu, umekuwa kama yule uliyemfanya Mungu aliyekamatwa akavuliwa chupi akanyofolewa goviWewe hata ukijibiwa hutobadilika kamwe, Kafiri mkubwa wee.
Wafilipi (2:5,6,7,8) lweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu (6) ambaye yeye mwanzo alikuwa yu namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho, (7) bali alijfanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu, (8)tena alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba.Anayemkana Mola ni nyinyi mnaosema Yesu ni mungu
Wafilipi (2:5,6,7,8) lweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu (6) ambaye yeye mwanzo alikuwa yu namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho, (7) bali alijfanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu, (8)tena alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba.
Wafilipi (2:5,6,7,8) lweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu (6) ambaye yeye mwanzo alikuwa yu namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho, (7) bali alijfanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu, (8)tena alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba.
2Petro (3:16)Vile Vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo, katika nyaraka hizo, yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo, na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe, basi wapenzi, mkitaangulia kujua hayo, jilindeni nafsi zenu msije mkachukuliwa na kosa la hao wahalifu, mkaanguka na kuuacha uthibitifu wenu.Paulo anamkufuru Mungu
Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima ya mwanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya nguvu za wanadamu.
( 1 Wakorintho 1:25 )
Mambo ya Walawi 24:16
mtu ye yote atakayelikufuru jina la BWANA lazima auawe.
Yesu alisema...
Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemkasirikia ndugu yake atahukumiwa. Tena, yeyote anayemwambia ndugu yake, ‘Raca,’ anajibika mbele ya Baraza. Lakini yeyote anayesema, 'Mjinga wewe!' atakuwa katika hatari ya moto wa kuzimu.
( Mathayo 5:22 )
Paulo alisema…
“Wewe mpumbavu, ukipandacho hakiwi hai isipokuwa kikifa”
( 1 Kor. 15:36 )
Paulo aliamini Yesu alifufuka kutoka kwa wafu kama roho, si mwili wa nyama.
Hupandwa mwili wa asili, hufufuliwa mwili wa kiroho. Ikiwa kuna mwili wa asili, kuna mwili wa kiroho pia.
( 1 Wakorintho 15:44 )
Ndugu zangu, nawaambieni, nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa Mungu, wala kuharibika kurithi kutoweza kuharibika.
( 1 Wakorintho 15:50 )
Ukweli ni kwamba Yesu alipaa Mbinguni katika mwili wa nyama (Luka 24:51).
Paulo alikanusha hadithi za Eliya na Eliza kufufua maiti kwa hali yao ya zamani (2Wafalme 17:20-23).
Pia anawakanusha Mitume. Kukanusha kwake hadithi hizi kunaonyesha kwamba alilichukulia Agano la Kale kuwa potovu kama hadithi za uwongo ndani yake.
Paulo analichukulia Agano la Kale kuwa potovu.
Anakanusha, Mungu, Yesu, Manabii wengine, anawapinga Barnaba na Petro kwa ukali kwa sababu wanafundisha hivi;
na
Wote wawili walifundisha Uislamu, hakuna uungu wa Yesu na hakuna kusulubiwa.
"Usinywe tena maji, bali tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara."
( 1 Tim. 5:23 )
Daktari Paulo anashauri, usinywe maji, kunywa divai tu.
Paulo anasema…
Rum. 12:14
"Wabarikini wanaowaudhi; barikini wala msiwalaani."
Lakini pia anasema…
Matendo 23:3
"Mungu atakupiga, wewe ukuta uliopakwa chokaa."
Umejibu vema kabisa... Maana pamoja na utofauti wa wandishi.. Hoja ya wokovu imelindwa..sasa kama atasubiri mfanano wa maandiko ndio naamini atasubiri sanaaaa... Ila kweli Kwamba, YESU NI MWOKOZI NA KILA AAMINIE HATOHUKUMIWA, ASIEAMINI KESHA HUKUMIWAUkiondoa mbingu na dunia nionyeshe kitu ambacho Mwenyezi Mungu hufanya bila kumhusisha mwanadamu. Mfano, kuzaliwa kwa watoto - tunasema ni Mwenyezi Mungu ndiye anayetutia roho, lakini mtoto anatokana na muunganiko wa mume na mke au mwanaume na mwanamke.
Nyumba ya ibada tunaiita 'nyumba ya Mungu' lakini inajengwa na binadamu. Sadaka tunasema ni ya Mungu, lakini inatolewa na kupewa wanadamu. Vitabu vitakatifu tunasema ni neno la Mungu, lakini vimeandikwa na binadamu.
Hata neno linaposomwa kanisani au mskitini tunasema ni neno la Mungu, lakini linasomwa na mwanadamu. Hivyo, katika mambo mengi Mungu anawashirikisha wanadamu katika kuifanya dunia iwe mahali pema zaidi. Kuna lugha ya kiteolojia inasema: "God did not create a perfect world, but a perfectable world" na ndiyo maana hatuna budi kutunza mazingira kwa kupanda miti na kupunguza uchafuzi wa mazingira, hewa na maji.
Tofauti unazoziona kwenye Biblia ni za kibinadamu/kimaandishi, lakini neno la Mungu ni timilifu maana linahusu 'saving justice, love of God and neighbour, forgiveness, compassion, salvation' na katika haya hakuna kilichokosewa. Hivyo, msingi wa biblia au focus yake ni "ukombozi wa mwanadamu" na siyo makabila mangapi au majina ya akina nani au sehemu gani.
2Petro (3:16)Vile Vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo, katika nyaraka hizo, yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo, na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe, basi wapenzi, mkitaangulia kujua hayo, jilindeni nafsi zenu msije mkachukuliwa na kosa la hao wahalifu, mkaanguka na kuuacha uthibitifu wenu.
Ukombozi ni zaidi ya fikira zako. Of course, huwezi kuona sense kama hujaelewa kitu. Kama hujafika "Soho" - ni moja ya sehemu maarufu sana jijini London - huwezi kuelewa wala kuelezea shughuli zinazoendelea huko. Huu ni mfano ninaoweza kukupa. Na wewe kama hujafikia level ya kuelewa au hutaki kuelewa, huwezi kuelewa.
Uandishi wa biblia uko kama waandishi wa habari wanavyoweza kuripoti tukio fulani. Mfano, imetokea ajali ya gari na kuna majeruhi 10 na waliopoteza maisha 3. Mwandishi A akifika sehemu ya ajali ataripoti kuna ajali imetokea sehemu X na kuna majeruhi 10 na waliopoteza maisha 3.
Mwandishi B ambaye amefika sehemu ya tukio na kukuta majeruhi na miili ya waliofariki imepelekwa hospitalini ataripoti kuwa kuna majeruhi wengine 3 waliofariki njiani, atasema ajali imetokea sehemu X waliofariki ni 6 na walionusurika ni 7. Angalia namba zimebadilika siyo kimakosa, bali kuendana na habari ilivyo kwa wakati huo na kama kuna mwandishi mwingine wa tatu atakayeenda sehemu ya tukio na kisha hospitalini na kukuta majeruhi wamesharuhusiwa kwenda nyumbani na ndugu wameshachukua miili ya wapendwa wao, naye taarifa yake itakuwa tofauti.
Tofauti hizi za namba na majina baadhi husema "waandishi wetu hawako serious". Lakini ukiangalia kila mwandishi aliripoti tukio kikamilifu kwa jinsi alivyopata taarifa za tukio lenyewe. Mfano, mwandishi wa kwanza hataongelea hospitali, daktari na nesi na mortuary. Lakini mwandishi wa pili ataongelea hayo pia. Mwandishi wa tatu yeye atategemea taarifa yake kwa madaktari na manesi.
Na kama kuna mwandishi wa nne huenda source ya taarifa yake atakuwa mwandishi mwenzake aliyefika sehemu ya ajali na kukuta majeruhi na waliopoteza maisha wakiwa bado sehemu ajali ilipotokea. Kama itakuwa hivyo, mwandishi huyu atatoa taarifa karibu inayofanana na mwandishi wa kwanza - maana anaweza hata kutaja namba za gari na jina la dereva, ambavyo kwa mwandishi wa nne hivi vitu kwake havitakuwa muhimu kwake. Sana sana anaweza kusema alipofika wodini walipolazwa majeruhi alikuta wodi ya wagonjwa imejaa, taarifa ambayo waandishi wengine hawatakuwa nayo pia.
Lakini pia kama waandishi hao watapeleka habari - mfano mmoja kwa wanafunzi wa chuo kikuu, mwingine kwa wakulima, mwingine kwa wavuvi na mwingine kwa wasanii kila mmoja atatumia msamiati au lugha inayoeleweka kwa wale anaowapelekea habari. Huu ni mfano (ingawa siyo mkamilifu) wa namna biblia ilivyoandikwa na tofauti za waandishi katika kuelezea habari wanazowasilisha siyo kosa/tatizo lao, bali ni aina ya habari ilivyopokelewa kutoka kwa chanzo cha habari na kuiweka katika lugha inayoeleweka kwa wale wanaopelekewa habari husika.
2PETRO (2:20,21)Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani. Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya wanadamu, bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na roho mtakatifu.Wakristo wengi hawaelewi kwamba 2 Petro ni mojawapo ya vitabu vinavyojadiliwa sana katika kanuni za Agano Jipya.
Wasomi wachanganuzi wanaiona 2 Petro kuwa ilighushiwa na mwandishi wa baadaye aliyejifanya kuwa Petro (jina bandia = jina la uwongo) mwishoni mwa karne ya kwanza au mwanzoni mwa karne ya pili.
Mtindo na maneno ya 2 Petro ni tofauti kabisa na ile ya 1 Petro (kwa wasomi wachambuzi, hii inaonyesha hao ni waandishi wawili tofauti).
Petro anaelezewa kuwa "hajui kusoma na kuandika" (Matendo 4:13), na mwandishi wa 2 Petro anatumia maneno ya falsafa ya Kigiriki.
Kuna madai ya kutofautiana kwa kihistoria (rejeleo la barua ya Paulo kama Maandiko- 2 Petro 3:16).
Mkuu Muhamad hakujua kusoma wala kuandika, ikiwa kutokujua kusoma ni kigezo, Quran isiaminiwe na waislamu? tusaidie.Wakristo wengi hawaelewi kwamba 2 Petro ni mojawapo ya vitabu vinavyojadiliwa sana katika kanuni za Agano Jipya.
Wasomi wachanganuzi wanaiona 2 Petro kuwa ilighushiwa na mwandishi wa baadaye aliyejifanya kuwa Petro (jina bandia = jina la uwongo) mwishoni mwa karne ya kwanza au mwanzoni mwa karne ya pili.
Mtindo na maneno ya 2 Petro ni tofauti kabisa na ile ya 1 Petro (kwa wasomi wachambuzi, hii inaonyesha hao ni waandishi wawili tofauti).
Petro anaelezewa kuwa "hajui kusoma na kuandika" (Matendo 4:13), na mwandishi wa 2 Petro anatumia maneno ya falsafa ya Kigiriki.
Kuna madai ya kutofautiana kwa kihistoria (rejeleo la barua ya Paulo kama Maandiko- 2 Petro 3:16).
Mkuu Muhamad hakujua kusoma wala kuandika, ikiwa kutokujua kusoma ni kigezo, Quran isiaminiwe na waislamu? tusaidie.
Qur'an iliandikwa na nani.Muhammad SAW hakuandika Quran lakini tunaambiwa Peter aliandika 1 na 2 Peter
Qur'an iliandikwa na nani.
Qur'an iliandikwa na nani.