Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

Kwa uandishi wako tu wa singeli na uhakika wewe sio mkristo..ila umejivika ukristo feki uje upondee wadada wa kikristo ambao ni decent na wenye kujielewa..kuliko hao wanaovaa majuba ila ni ma**ya wakutupwa.

Kingine suala la tabia sio imani au kabila ni mtu na malezi yake tu..mana kote kote kuna decent na malaya.

So mleta mana acha upumbafu...mana hata sisi tumedate hadi na mabinti wakibudha.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello JF members Mugona Vihi?

Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano.
Kwanza wew sio mkristo unge kuwa mkristo usinge waita visokolo kwinyo wakristo

. Jambo muhimu usipende kudharau dini za wengine, ukifanya hivyo ndiipo utakapo jua kwanini wengine Wanadharau dini yako pia
 
hio ni a. k. a micharuko
 
Back
Top Bottom