Hello JF members Mugona Vihi?
Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano.