Wazungu ndio walioanza kwenda kwenye nchi za wenzao since 1700s
Ukisema kila mtu abaki kwenye nchi yake ina maana uwaambie hao wazungu na hasa US aache kuvamia mataifa ya wenzake na kuharibu nchi za wenzake,ashughulike na mambo ya nchi yake tu,
US ndio mzalishaji mkuu wa hao wakimbizi,ameharibu nchi nyingi sana,kaiharibu Libya,Afghanistan,Syria,Iraq na sasa anapigana na Iran,siasa zake pia ndio zinasababisha ugumu wa maisha hasa kwenye nchi za Africa,
Unapojadili matatizo fulani,jaribu kuangalia root cause ya hayo matatizo,angalia chanzo kilicholeta hayo matatizo,
Wakimbizi ni matokeo ya siasa zao and now they are paying the price of what they did,sababu zinazowafanya wakimbizi kwenda huko ni exactly the same reason why the English was leaving England and going to other countries since 1700 s