You always sound like a jilted lover. You don't have to hurl insults to make a point. Do you even know the history of your prostituting grandmother let alone Kenya???Kenya ni nchi ambayo ni failed,haiwezi kuwa na historia yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You always sound like a jilted lover. You don't have to hurl insults to make a point. Do you even know the history of your prostituting grandmother let alone Kenya???Kenya ni nchi ambayo ni failed,haiwezi kuwa na historia yoyote
Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.wewe wakurya hawajawai kutawaliwa na any tribe sisi tulikua mabody wa huku ata maasai who were fierce were only afraid of kuria.maasai tu ndio alikua tisho but bado tuliwaibia ngombe walikua wanaogopa poisoned arrows from our archers.thats why you find some maa names we share like getangita and mwikwabe(kwavi maasai) if you killed a maasai.my explanation is superficial though
Meza vidonge ukalale utulize maumivu,You always sound like a jilted lover. You don't have to hurl insults to make a point. Do you even know the history of your prostituting grandmother let alone Kenya???
Kwavi(Maasai)wanapatikana TransMara-Kilgoris,narok county.Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.
Kweli kabisa ila wamaasai, wamatapato wa kule kwetu Kajiado huwa hawapendi kabisa hilo jina la kwavi. Nadhani waparakuyo wa kule Tz ni wakwavi pia kwasababu hayo majina mawili huwa yanatumiwa kwa pamoja.Kwavi(Maasai)wanapatikana TransMara-Kilgoris,narok county.
Wamepakana na wajaluo,wakisii, Kipsigis(kalenjin),Purko(Maasai),na Wakuria.
Wachaga na masai ni tofauti kabisa, tumepigana na wamasai vita, piga sana na kubeba wanawake na ng'ombe zao. Wachaga ni wa kilimanjaro, hakuna maasai kabisa huko, pure bantu. Wamasai arusha huko. Usitulinganishe na hao wamasai wenu.Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.
Mbona unaforce sana hao wamasai kuwepo Tz. Wapo kwenyu huko, ushaelezewa walopakana nao. Acha kuhusisha Tz na weaknessKweli kabisa ila wamaasai, wamatapato wa kule kwetu Kajiado huwa hawapendi kabisa hilo jina la kwavi. Nadhani waparakuyo wa kule Tz ni wakwavi pia kwasababu hayo majina mawili huwa yanatumiwa kwa pamoja.
Acha hasira mkuu, mbona mimi binafsi nawajua waparakuyo kadhaa, ulizia kuhusu Parakuyo/Mbaraguyo wapo huko Tz, ni wamaasai kiasili ila ukiwauliza watakuambia ni wachagga. Sijakataa kwamba chimbuko lao ni kwa wakwavi ambao wapo huku Kenya pia.Mbona unaforce sana hao wamasai kuwepo Tz. Wapo kwenyu huko, ushaelezewa walopakana nao. Acha kuhusisha Tz na weakness
Uzushi tu, hujasikia kuhusu ufalme wa Wanga Kingdom na mfalme Nabongo Wa Mumias ambaye ulikuwa unatawala na kuokota ushuru hadi huko Tz kwa wapare na wakurya na Ethiopia kwa wa Oromo??? Koitalel Arap Samoei naye, Mekatili Wa Menza je, mwanamke ambaye aliwatawala wamijikenda kimabavu?
Kenya before 1900 ni aibu. Google uone hao wajanja janja walivyokuwa.Stori za kutungwa hizi kama zile za kuwa mlima Kilimanjaro uliwai kuwa Kenya. Kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka
Kwahivyo walitunga stori kuhusu Kilimanjaro ilivokuwa ndani ya nchi ambayo haikuwepo? Mbona unajikanganya mwenyewe?Stori za kutungwa hizi kama zile za kuwa mlima Kilimanjaro uliwai kuwa Kenya. Kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka
Unamaanisha ya kwamba kuna tofauti kati ya 'Kenya' na 'Tanzania' za kabla ya 1900? Duh! Hii sasa ndio kukosa hoja au tanaiita nini?Kenya before 1900 ni aibu. Google uone hao wajanja janja walivyokuwa.
Kubwa sana. Nitajie chiefdoms tatu zilizomsumbua mkoloni.Unamaanisha ya kwamba kuna tofauti kati ya 'Kenya' na 'Tanzania' za kabla ya 1900? Duh! Hii sasa ndio kukosa hoja au tanaiita nini?
Meza vidonge ukalale utulize maumivu,
Hiyo ilikuwa ni Kawaida , ilikuwa ukipita kwenye ufalme wa mtu unalipa ushuru kwa gate unaendelea na safari,Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.
Duh, jamaa abafananisha wamasai na wachaga? Quite different. masai sio wabantu.Wachaga na masai ni tofauti kabisa, tumepigana na wamasai vita, piga sana na kubeba wanawake na ng'ombe zao. Wachaga ni wa kilimanjaro, hakuna maasai kabisa huko, pure bantu. Wamasai arusha huko. Usitulinganishe na hao wamasai wenu.
Ukiwauliza watakwambia ni wachaga? Hamna hiyo kitu mkuu, wachaga origin yao ni around slopes za mlima kilimanjaro tu. Nje ya hapo utakutana na wameru, kaskazini na mashariki, wapare kusini, wakahe magharibi, hata hatujapakana nao Na ni wakulima na wafugaji, chakula cha asili ni ndizi, nyama na mbege.Acha hasira mkuu, mbona mimi binafsi nawajua waparakuyo kadhaa, ulizia kuhusu Parakuyo/Mbaraguyo wapo huko Tz, ni wamaasai kiasili ila ukiwauliza watakuambia ni wachagga. Sijakataa kwamba chimbuko lao ni kwa wakwavi ambao wapo huku Kenya pia.
Kwahivyo walitunga stori kuhusu Kilimanjaro ilivokuwa ndani ya nchi ambayo haikuwepo? Mbona unajikanganya mwenyewe?
Ubajipenda kwanza kabla ya kumpenda jirani yako. Is that too hard to do? Si unaona vile uswahili Danganyika unavyowadhuru na kuwadanganya? Sifia ya kwako kwanza ili mwenzako atambue kuwa wewe mwenyewe unajidhamini...Nikisoma facing Mount Kenya. Kenyatta anautukuza ukikuyu sana as if nchi wamepewa wenyewe na ngai wao na makabila mengine haya exist