History Of Kenya

History Of Kenya

Kenya ni nchi ambayo ni failed,haiwezi kuwa na historia yoyote
You always sound like a jilted lover. You don't have to hurl insults to make a point. Do you even know the history of your prostituting grandmother let alone Kenya???
 
wewe wakurya hawajawai kutawaliwa na any tribe sisi tulikua mabody wa huku ata maasai who were fierce were only afraid of kuria.maasai tu ndio alikua tisho but bado tuliwaibia ngombe walikua wanaogopa poisoned arrows from our archers.thats why you find some maa names we share like getangita and mwikwabe(kwavi maasai) if you killed a maasai.my explanation is superficial though
Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.
 
You always sound like a jilted lover. You don't have to hurl insults to make a point. Do you even know the history of your prostituting grandmother let alone Kenya???
Meza vidonge ukalale utulize maumivu,
 
Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.
Kwavi(Maasai)wanapatikana TransMara-Kilgoris,narok county.
Wamepakana na wajaluo,wakisii, Kipsigis(kalenjin),Purko(Maasai),na Wakuria.
 
Kweli kabisa ila wamaasai, wamatapato wa kule kwetu Kajiado huwa hawapendi kabisa hilo jina la kwavi. Nadhani waparakuyo wa kule Tz ni wakwavi pia kwasababu hayo majina mawili huwa yanatumiwa kwa pamoja.
 
Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.
Wachaga na masai ni tofauti kabisa, tumepigana na wamasai vita, piga sana na kubeba wanawake na ng'ombe zao. Wachaga ni wa kilimanjaro, hakuna maasai kabisa huko, pure bantu. Wamasai arusha huko. Usitulinganishe na hao wamasai wenu.
 
Mbona unaforce sana hao wamasai kuwepo Tz. Wapo kwenyu huko, ushaelezewa walopakana nao. Acha kuhusisha Tz na weakness
 
Acha hasira mkuu, mbona mimi binafsi nawajua waparakuyo kadhaa, ulizia kuhusu Parakuyo/Mbaraguyo wapo huko Tz, ni wamaasai kiasili ila ukiwauliza watakuambia ni wachagga. Sijakataa kwamba chimbuko lao ni kwa wakwavi ambao wapo huku Kenya pia.
 
Uzushi tu, hujasikia kuhusu ufalme wa Wanga Kingdom na mfalme Nabongo Wa Mumias ambaye ulikuwa unatawala na kuokota ushuru hadi huko Tz kwa wapare na wakurya na Ethiopia kwa wa Oromo??? Koitalel Arap Samoei naye, Mekatili Wa Menza je, mwanamke ambaye aliwatawala wamijikenda kimabavu?

Stori za kutungwa hizi kama zile za kuwa mlima Kilimanjaro uliwai kuwa Kenya. Kabla ya ukoloni hakukuwa na mipaka
 
Kwahivyo walitunga stori kuhusu Kilimanjaro ilivokuwa ndani ya nchi ambayo haikuwepo? Mbona unajikanganya mwenyewe?
 
Kenya before 1900 ni aibu. Google uone hao wajanja janja walivyokuwa.
Unamaanisha ya kwamba kuna tofauti kati ya 'Kenya' na 'Tanzania' za kabla ya 1900? Duh! Hii sasa ndio kukosa hoja au tanaiita nini?
 
Hahaha! [emoji1] Nimekuelewa mkuu. Alichokuwa anafanya Nabongo Mumia sio kuwatawala bali ni kuokota ushuru kwa jamii zote zile zilizokaribia ufalme wake kama hongo ya kuwaacha waendelee na maisha yao. Alafu hao kwavi kule umaasaini ndio wanajulikana kama maasai fake. Kwa jina la dharau wanaitwa na wamaasai wa Kenya 'parakuyo', na wanaishi kule Tz, huwa wanajiita wachagga eti, lakini wanaongea kimaasai.
Hiyo ilikuwa ni Kawaida , ilikuwa ukipita kwenye ufalme wa mtu unalipa ushuru kwa gate unaendelea na safari,
Yaani ukoloni umeturudisha nyuma sana, tungekuwa mbali mno,
Tunahitaji kutunza hizi historia kwa ajili ya vizazi vijavyo, at least they should know who they truly are.
 
Wachaga na masai ni tofauti kabisa, tumepigana na wamasai vita, piga sana na kubeba wanawake na ng'ombe zao. Wachaga ni wa kilimanjaro, hakuna maasai kabisa huko, pure bantu. Wamasai arusha huko. Usitulinganishe na hao wamasai wenu.
Duh, jamaa abafananisha wamasai na wachaga? Quite different. masai sio wabantu.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Acha hasira mkuu, mbona mimi binafsi nawajua waparakuyo kadhaa, ulizia kuhusu Parakuyo/Mbaraguyo wapo huko Tz, ni wamaasai kiasili ila ukiwauliza watakuambia ni wachagga. Sijakataa kwamba chimbuko lao ni kwa wakwavi ambao wapo huku Kenya pia.
Ukiwauliza watakwambia ni wachaga? Hamna hiyo kitu mkuu, wachaga origin yao ni around slopes za mlima kilimanjaro tu. Nje ya hapo utakutana na wameru, kaskazini na mashariki, wapare kusini, wakahe magharibi, hata hatujapakana nao Na ni wakulima na wafugaji, chakula cha asili ni ndizi, nyama na mbege.
Before taking over mt kilimanjaro, we came from bantu tribes of west Tz and east congo.
 
Kwahivyo walitunga stori kuhusu Kilimanjaro ilivokuwa ndani ya nchi ambayo haikuwepo? Mbona unajikanganya mwenyewe?

Mlima Kilimanjaro siku zote ulikuwa ndani ya ardhi ya wachaga na wapare kabla ya kuhitafiliana na baadae ikawa ndani ya himaya ya wachaga. Ukiangalia wachaga hawafanani na kabila la upande wa pili la kabila la Kenya wanaloishi karibu na mlima Kilimanjaro.

N.B. wachaga wengi ni fair skin na light skin huku upande wa pili kabila la watu waliokaribu na mlima Kilimanjaro huko Kenya ni weusi kama mkaa.
 
Nikisoma facing Mount Kenya. Kenyatta anautukuza ukikuyu sana as if nchi wamepewa wenyewe na ngai wao na makabila mengine haya exist
Ubajipenda kwanza kabla ya kumpenda jirani yako. Is that too hard to do? Si unaona vile uswahili Danganyika unavyowadhuru na kuwadanganya? Sifia ya kwako kwanza ili mwenzako atambue kuwa wewe mwenyewe unajidhamini...
 
Back
Top Bottom