History Of Kenya

Wachagaa,wameru Na Pare pia Taita kuna tofauti kweli?
 
hivi niulize wameru wa TZ na wale wa Kenya kuna uwiano wowote wa culture lugha ama jinsi wanaendeleza tamaduni zao.mimi kama mkurya wa kenya nikienda tz huwa naona tofauti zipi katika maneno kadhaa pia mwenyeji wangu alikua anasema naongea haraka.na huwa napata habari kuwa koo ya ngurueme huwa wanakana kuwa wakurya.je wazanani ni kabila kivyake au ni sehemu ya larger kurya.
 
Acha upuuzi wako Wakurya hawajahi kulipa ushuru kwa mtu yeyote Waarabu walishindwa, wajerumani wakashindwa wakaamua kuweka military reserve Northmara. Waingereza walifanikiwa kwa indirect rule. Hizo fantansy za kwenye changaa usizileta humo
 
Acha upuuzi wako Wakurya hawajahi kulipa ushuru kwa mtu yeyote Waarabu walishindwa, wajerumani wakashindwa wakaamua kuweka military reserve Northmara. Waingereza walifanikiwa kwa indirect rule. Hizo fantansy za kwenye changaa usizileta humo
nilitaka kushangaa, eti mluhya amlipishe mura ushuru?
 
Wachagaa,wameru Na Pare pia Taita kuna tofauti kweli?
Ipo hivi boss, wachaga wa moshi wenyewe lugha zao zinatofautiana, wamarangu, old moshi, rombo wanaelewana zaidi ya wachaga wa machame, siha na kibosho. Na hawa wa machame, siha na kibosho, lugha yao inafanania na wameru.
Wapare ndio og settlers, tuliwafukuza from slopes of kilimanjaro, wakakimbilia slopes za milima ya ugweno, huko karibu na tanga. Neno pare lenyewe in ancient chaga, meant kicking, yani tuliwatembezea kichapo ikabidi wahame,walikuwa wanasema pare, yaani piga. Nasikia kuna wameru kenya, wapo wapi? Na wapare pia wapo?
 
Wazanani? Au you meant zanaki
 
Duh, jamaa abafananisha wamasai na wachaga? Quite different. masai sio wabantu.
Mna ubishi mwingi sana, mgefanya karisechi kidogo tu mngedhibitisha virahisi uhalisia wa ninachokisema. Kwanza kabisa sijasema waparakuyo ni wachagga ila huwa wanajihusisha nao. La pili ni kwamba najua wamaasai sio wabantu, ni nilotes, tunao nilotes wengi sana huku Kenya. Tatu, jifunze mengi kuhusu waparakuyo ambao ni wamaasai lakini walikuwa ni wakulima na wanaishi Kitumbi, kusini mwa Tanzania. Someni jibu hili la huyu mwanahistoria hapa. http://orvillejenkins.com/peoples/kwavibaraguyomaasai.html
 
Nimekuelewa..
Wameru Kenya wako kama 3Million wanapatikana east of Mount Kenya counties za Meru,Isiolo-southern Na pia Tharaka Nithi.
Nadhani wako tofauti kabisa Na wale Wa Kilimanjaro.
Meru people - Wikipedia
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…