Ipo hivi boss, wachaga wa moshi wenyewe lugha zao zinatofautiana, wamarangu, old moshi, rombo wanaelewana zaidi ya wachaga wa machame, siha na kibosho. Na hawa wa machame, siha na kibosho, lugha yao inafanania na wameru.
Wapare ndio og settlers, tuliwafukuza from slopes of kilimanjaro, wakakimbilia slopes za milima ya ugweno, huko karibu na tanga. Neno pare lenyewe in ancient chaga, meant kicking, yani tuliwatembezea kichapo ikabidi wahame,walikuwa wanasema pare, yaani piga. Nasikia kuna wameru kenya, wapo wapi? Na wapare pia wapo?