History: Tanzania troops in Seychelles

History: Tanzania troops in Seychelles

Tanzania Nchi bure kabisa, hata Baada ya earthquake Kenya ndio iliwatumia waathiriwa msaada huku Serikali ya Lumumba ikishughulikia siasa zao na Chadema.
Seychelles hata kwa udogo wake wako vizuri sana kiuchumi, lakini waabudu wazungu na wahindi wajajipeleka huko ati kumkomboa muhindi ila akipelekwa where the battle is fiercest, JWTZ wanapokea kichapo cha mbwa msikitini....pale kwa Kabila walipigwa na vijana wamejiami kwa mapanga.
Hivi kuna linchi lenye ufisadi na uwizi kama linchi lenu
 
Hawa hawa WFP ndio wanasema asilimia 35% ya watoto chini ya umri wa miaka mitano wa Watanzania wamedumaa (stunted) kwa ukosefu wa lishe bora.
Pia wamewaumbua jinsi mikoani na wilayani ni njaa, na ndio wao pia wameonyesha tumewashinda kwenye HDI ranking. Soma taarifa nyingi za WFP kuhusu Tanzania....wacha kupost Tweet moja na kukimbia.
Lakini muwashukuru maana wanawasaidia wakulima wenu kwa kununua mazao kutoka kwao wakati mumekubali kujituma.

UN World Food Programme
We jamaa kweli ni kuku, weka evidence hapaaa

Umepita mikoa ya TZ ukaona jinsi tulivyovuna saivi.... nyanda za juu kusini, kaskazini mashariki kooote kumefurika nafaka
 
And who recognizes danganyikan security guards anywhere.Waoga kama bush babies

Hahahahaha, TPDF is like Kenyan marathoners, they must get gold medals wherever they participate, watch from 5:16 minutes.
 
Bora JW alikabiliana na ADF masaa zaidi ya kumi na Vifo vikawa 14 kuliko KDF walioshambuliwa kwa nusu saa wakapoteza battalion nzima kibaya zaidi waka..........mpaka Google wakawaonea huruma
sema vijana wa mapanga...bwahahaaaa...masaa kumi na manne mnapambana na vijana wa mapanga..alafu tena hapo hapo mkapoteza wanajeshi 14...alafu unakuja jisifu hapa...

je wakipigwa RPG km tano hv kambini ghafla..si watazirai tu wote hao jamaa
 
Unaona sasa kumbe jwtz wakipigwa RPG tano watazirai tu lkn KDF wakipigwa RPG tano wanakufa mamia na wengine wanalawitiwa kabisa dah
 
Ndio hiki kiherehere chenu cha kuingilia nchi za watu kimesababisha mumekua maskini hadi leo, na mtaendelea kulipia gharama hadi vizazi vijavyo.
Watoto wa wakoloni hadi leo Kila kitu wazungu. Amjianj, Watanzania ni wakombozi wa AFRICA na wewe Kenya pia. Kabla ya Uhuru wa Kenya. UK aliishi na Mwalimu Nyerere ukulu Dar
 
Watoto wa wakoloni hadi leo Kila kitu wazungu. Amjianj, Watanzania ni wakombozi wa AFRICA na wewe Kenya pia. Kabla ya Uhuru wa Kenya. UK aliishi na Mwalimu Nyerere ukulu Dar

Pumba za kukomboa Afrika ni kiherehere chenu, mnaingilia ugomvi baina ya ndugu kwenye nchi zao.
 
Unaona sasa kumbe jwtz wakipigwa RPG tano watazirai tu lkn KDF wakipigwa RPG tano wanakufa mamia na wengine wanalawitiwa kabisa dah

hapo vp...habari kutoka raisi wa wanyonge...ccm hoyeeerais wa wanyonge..
sources pia anataka atoe yeye..dah...kweli kuna nchi ni vipofu na wanaongozwa na bubu
 
kisha wacha kutuongopea hapa...jwtz kwanza wanajua RPG ni nn..wacha masihara wewe..tenaupo serious bana...

wale hawana wajuaolo zaidi ya manati na mapanga vitani...bwahahaaa..

JAMAA ETI JWTZ WANAJUWA RPG NI NN??WUHUHUUU
 
Nimegundua akili yako ni sawa na akili ya kumbikumbi au GUGWE
 
Within 34hrs Mombasa na miji yote ya coast ya Kenya itakua mikononi mwa JWTZ. Tanzania enjoys air and Marine military superiority.

At times it's good to day dream.😂😂
The Kenya Navy is the biggest Navy along the Eastern Coast of Africa from Cape to Cairo.
 
Back
Top Bottom