Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Hivi kuna linchi lenye ufisadi na uwizi kama linchi lenuTanzania Nchi bure kabisa, hata Baada ya earthquake Kenya ndio iliwatumia waathiriwa msaada huku Serikali ya Lumumba ikishughulikia siasa zao na Chadema.
Seychelles hata kwa udogo wake wako vizuri sana kiuchumi, lakini waabudu wazungu na wahindi wajajipeleka huko ati kumkomboa muhindi ila akipelekwa where the battle is fiercest, JWTZ wanapokea kichapo cha mbwa msikitini....pale kwa Kabila walipigwa na vijana wamejiami kwa mapanga.