Hit song ya Pcee- Kilimanjaro, Je wizara ya Utalii imeona mchango wake?

mkushite

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
666
Reaction score
1,619
Nimeshangazwa sana na Hit song ya PCee-Kilimanjaro inavyo pendwa na kuchezwa kwenye social media.

Kiukweli jamaa anastahili pongezi kwa kuitangaza Kilimanjaro ambapo wasanii wetu wa ndani wameshindwa kuwa wabunifu kama jamaa.

Kiukweli Pcee apewe credits zake, Kilimanjaro imepewa promo kubwa na sijui kama jamaa kalipwa.

Your browser is not able to display this video.
 
SA imehit namba 1 ndani ya week 3,kabla haijatolewa na joh mase ya MAPARAE JAZZ
 
Hajawakilisha mlima Kilimanjaro Bali Kuna msouth mwnzie alikua anaitwa Kilimanjaro n marehem Sasa
We fuatilia vzur Mzee utakipata kisa chote
 
Ameondolewa waziri mwenye uwezo, tumeletewa mpambe asiyejiweza jst kujaza nafasi
 
Kilomanjaro katika wimbo huu ni dem wake anaemla tope
 
Wimbo haumaanishi mnachokisema , kizazi cha tik tok hiki shida sana
 
Amefanya vyema sana
Tutampa uraia wa ubalozi wa utalii
 
Amefanya vyema sana
Tutampa uraia wa ubalozi wa utalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…