Hitimisho baada ya miezi 15 ya kupondwa Hamas na vibaraka wake, haimaniishi ndio kukoma kwao lakini pia haimaanishi ndio pumziko lao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20250115-212520.png

Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa.

Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa.

Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo athiri duniani kote. Tumejifunza na kujua kuwa ile ni vita ya kidini na itikadi.

Ni vita ambayo ukweli wake unafichwa huku ukweli ni ule unaondaliwa kwa sababu ya ku-support either hamas na Israel. Ni vita ambayo ni matokeo ya utapeli wa ki-itikadi ulioandaliwa for centuries.

Tumeshuhudia maandamano yakipinga Israel kuwaaua wagaza, lakini hatukayaona maandamano hayo pale Yemen ilipoua watoto wao.

Kwa hio huu ni mgogoro uliojaa unafiki, chuki, uongo na uhanga wa itikadi za kitapeli.
 
ww
View attachment 3203223

7uu
 
Back
Top Bottom