Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea?
Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa mtendaji mzuri ila kulikuwa na changamoto kubwa sana kwenye kichwa chake ( akili yake). Kwa lugha ta kawaida tunaweza sema alikuwa na ukichaa pia he was a sadist.
Magufuli alipenda kumkomoa mpinzani wake na haijalishi anamkomoaje. Ila magufuli aliweza fanya hayo kwa sababu tayari kwenye Chama cha Mapinduzi walishaanzisha ka mfumo kwa kufanya kazi hizo chafu. No wonder matukio yale hayajakoma hata baada ya Magufuli kuondoka madarakani.
Kupona kwa Tanzania dhidi ya vitendo hivi vichafu na mambo mengine kutafanikiwa kwa njia mbili tu nazo ni,
1. Katiba Mpya au
2. Kuondolewa kwa CCM madarakani
Lord denning
Qatar