HItimisho: Hayati Magufuli alikuwa tatizo ila shida kuu ni CCM

Sio CCM Bali ni the state haijawa pro active Kwa wakati coz damage is done!!

Awamu ya tatu ya lodilofa ilipaswa kuwapa picha ya Hali ilivyo sasa wakachelewa!!

Kipindi Cha pili Cha mkapa kilipaswa kutupa katiba mpya ya warioba na mkapa angekubali Ili ajaye asiharibu!

Wakasubiri Sana Hadi jpm alipoharibu ndio wakaona umuhim wake!!Sasa hawana ujanja zaidi ya ku excute Elimination medhod kimedani coz wakubwa wamelewa katiba iliopo Hadi wanasema ni kijitabu tu!!
 
Mkuu kenya walipata katiba mpya mbona utekaji ni kama tz yetu.mi naona utu utangulie hasa kwetu wa africa.
 
Tatizo tunatumia hisia kujadili haya mambo badala ya kutafakari kwa kina. Wengi tunaishia tu kunyooshea kidole serikali au Samia ila wakati mwengine unajiuliza huyu aliyetekwa alikuwa na nini hasa hadi serikali ilazimike kumteka au kumuuwa maana wengine hata hawakuwa wakijulikana hadi pale unasikia katekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…