Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.
Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa