Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tupe ushahidi wa ufisadi waoHayo majangili kutoka uarabuni yatatamba kwa muda tu
Bandari itarudi kwenye mikono ya watanzania
Acha mafisadi wale pesa za waarabu
Nimekuelewa mkuu. Sasa naomba jambo moja hapa.. maadam watanzania wanaoelewa kimombo ni wachache san. Sasa kupitia wewe hapa Lord denning.. wawekee watanzania hao ambao umewaita wajinga na wenye chuki mkataba huo kwa kiswahili hasa vifungu ambavyo vinaelezea kama Taifa litafaidika kwa asilimia ngap ya mapato!! AhsntHongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.
Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa
Kwanza kuna nakala ya mkataba kwa tafsiri ya kiswahili?Nimekuelewa mkuu. Sasa naomba jambo moja hapa.. maadam watanzania wanaoelewa kimombo ni wachache san. Sasa kupitia wewe hapa Lord denning.. wawekee watanzania hao ambao umewaita wajinga na wenye chuki mkataba huo kwa kiswahili hasa vifungu ambavyo vinaelezea kama Taifa litafaidika kwa asilimia ngap ya mapato!! Ahsnt
Ulitaka tuwape kina nani mkuu Kwa maoni Yako?Hayo majangili kutoka uarabuni yatatamba kwa muda tu
Bandari itarudi kwenye mikono ya watanzania
Acha mafisadi wale pesa za waarabu
Akikujibu basi .....Ulitaka tuwape kina nani mkuu Kwa maoni Yako?
Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
Hawezi kuwa na jibuAkikujibu basi .....
So kama final stage bado je unadhan mamb yaliyoanishwa hayatakua kweny utekelezaji? Na kwann yaainishwe? Na mpaka yapelekwe bungeni ili bunge liridhie yaliyoanishwa?Kwanza kuna nakala ya mkataba kwa tafsiri ya kiswahili?
Umeelewa pia kuwa huu sio mkataba wa mwisho ? Yaani baada ya hapa sasa pande zote zinaenda kukaa na kukubaliana kuhusu maeneo specific na terms zake?
Haya ni makubaliano ya mwanzo baina ya nchi na nchi then itafuata HGA yaani hiyo ndo wataingia serikali na DP World on specific issuesSo kama final stage bado je unadhan mamb yaliyoanishwa hayatakua kweny utekelezaji? Na kwann yaainishwe? Na mpaka yapelekwe bungeni ili bunge liridhie yaliyoanishwa?
Well said mkuu.Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu.
Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua wengi walikuwa wanapinga huu mkataba wakiwa hata hawauelewi na hawaelewi wanachopinga na wengine wanapinga kwa chuki zao tu kwa sababu anayefanya siye wanaempenda na wanaemtaka hivyo wanamuonea wivu na chuki.
Mwisho, hongera Rais Samia. Wewe ni professa kweli wa siasa. Joto limepoa
Mbona mgodi wa Barrick Tulawaka umerudi kwenye mikono ya Watanzania na unafilisika.Hayo majangili kutoka uarabuni yatatamba kwa muda tu
Bandari itarudi kwenye mikono ya watanzania
Acha mafisadi wale pesa za waarabu
Ujinga na chuki ni hatari sanaHizi chuki huwa najiuliza labda zinasababishwa na ile biashara ya utumwa lakini tena najisemeaga mbona hata Wazungu walifanya biashara ya watumwa hii chuki inatoka wapi? yarabi.
Hawezi kukujibuMbona mgodi wa Barrick Tulawaka umerudi kwenye mikono ya Watanzania na unafilisika.
Hawawezi kukwambiaWell said mkuu.
Kuna watu humu ni "mizimu" ya waliokufa, wanasubiri kufeli au anguko la Dr Samia.
Halipo kwa Sasa. Waache kujisumbua.
Huyu Mama yuko smart sana, Hana ujiwe wala udhaifu kichwani, Mambo yake ni kwa Uwazi kila aje na hoja ya kujenga.
Mambo mangapi yalifanyika Nchi hii? Mliiona hiyo mikataba?
Mwacheni Mama apige kazi.
KabisaHayo majangili kutoka uarabuni yatatamba kwa muda tu
Bandari itarudi kwenye mikono ya watanzania
Acha mafisadi wale pesa za waarabu
Kwahiyo Majangili kutoka Ulaya yaachwe tu yatambe?Kabisa
Ndiyo mmeamua kuwapa waarabu?Kwahiyo Majangili kutoka Ulaya yaachwe tu yatambe?
Nongwa iko wapi?Ndiyo mmeamua kuwapa waarabu?