Hitimisho Ligi Kuu Tanzania Bara leo tar 22:05:2016!

...naona viongozi wa simba nao wajitumbue tu,wameshindwa kabisa kusimamia hii timu.
 
... naona na yanga ni mbovu mbovu tu.
 
Hawa "water water" leo utadhani wanataka Kombe bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…