Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hawana cha kupoteza.!... naona na yanga ni mbovu mbovu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana cha kupoteza.!... naona na yanga ni mbovu mbovu tu.
Majimaji hawana ubavu kuwapa mpunga Yanga
Hawa ndo kwa heri mazima, coz ni Full time Mtibwa 2 African sports 0African sports ndio basi tena ligi kuu
Wanataka kujenga heshima.Hawa "water water" leo utadhani wanataka Kombe bhana.
... heshima chief!Hawana cha kupoteza.!
Hahahaah Barthez kafunga.!Yanga wanapata penati.
Gooooooooooooooo, Barthez.
Dk 44 :Majimaji 2-2 Yanga
Picha limeisha hapoHahahaah Barthez kafunga.!
Nilidhani wangempa Tambwe ili aongeze idadi ya magoliHahahaah Barthez kafunga.!
Tanga kunani?Coastal Union, Mgambo, African Sports (zote za Tanga)
Lakini Tambwe si ndio anaongoza kwa ufungaji??Nilidhani wangempa Tambwe ili aongeze idadi ya magoli
wewe wasema.Lakini Tambwe si ndio anaongoza kwa ufungaji??
Tena afadhali viwanja vibovu vinavyotusumbua vimepungua, bado cha Morogoro.Tanga kunani?
Tena kile kiwanja sikipendi hata kukiona. Bora tu wameshuka wote ili tusiende kule kwa WachawiTena afadhali viwanja vibovu vinavyotusumbua vimepungua, bado cha Morogoro.
RIP Coastal Union, African Sports na MgamboJKT, siku ya mwisho mtafufuliwa.