Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Anayeongoza Nani??
wewe wasema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe wasema.
Hahahaah kumbe ni viwanja sumbufu hivyo.!Tena kile kiwanja sikipendi hata kukiona. Bora tu wameshuka wote ili tusiende kule kwa Wachawi
Toto kapigwa
😉😉 aissee huu ni ugomvi wa mawe..Daaah
Kwakwel Muro kanichekesha kishenz
Eti kipa wa yanga ana maliza ligi na goli moja sawa na mshambuliaj hatari wa matopeni fc Mussa Hassan Mgoss
Hahahaa😉😉 aissee huu ni ugomvi wa mawe..
huyu ni zaaidi ya kina maasaau bwire..Hahahaa
Yaan nmecheka had bas Muro kanshinda
mmmmhhhh hii ni zaidi ya kutokufikiri..Ata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo!!
angalia usijikwae mkuu...dah lig yetu hii mh napita