Hitimisho Ligi Kuu Tanzania Bara leo tar 22:05:2016!

....jkt ruvu wanabebwa maana timu inayoifunga simba lazima ibebwe kama huamini msubiri manara atasemakuhusu vyura FC. Hahahahahaa....
 
Coast wamevuna walichopanda mgogoro wao na Binslum umewatoa kwenye njia. Na uongozi wa chama cha soka Tanga unapaswa ujitathimini kama bado wana wana uhalali wa kuendelea kuwa viongozi haiwezekani mkoa unapoteza timu zote tatu ligi kuu kwa msimu mmoja kisha bao mnajiita viongozi.
 
Ligi kwa msimu wa 2015/2016 imefungwa rasmi hii leo. Pamoja na wakuu wengi kutoonekana hapa jukwaani, naomba kufahamu hawa wakuu Kitoabu na ndetichia wako wapi?
 
Daaah
Kwakwel Muro kanichekesha kishenz

Eti kipa wa yanga ana maliza ligi na goli moja sawa na mshambuliaj hatari wa matopeni fc Mussa Hassan Mgoss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…