Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Naona Tanzania wamekubari kurudi home kesho asubuhi. Nawakaribisha.
 
Wamama wazima wanaopenda Serengeti boys najua wanapata maumivu kuliko mimi
 
nitaumia sana kama tutatolewa leo
Hiko chama chenu ni vile kinakulanga rambirambi, mnaongizagwa na watu wasio na maveti huoni kuwa ni malaana hayo.
Mnakatazanga siasa mmelaaniwa na mnatoka
 
Matokeo yakiendelea kubaki hivihivi,ni nani atasonga mbele coz GD wote itasoma 0?
 
KAMA MATOKEO YATABAKI HIV MAANA GOAL DIFFERENCE TUTAKUA SAWA, so ikiwa hiv mara nying huwa wanaangalia head to head aliemfunga mwenzie ndio anakua mshindi
 
KAMA MATOKEO YATABAKI HIV MAANA GOAL DIFFERENCE TUTAKUA SAWA, so ikiwa hiv mara nying huwa wanaangalia head to head aliemfunga mwenzie ndio anakua mshindi
 
Back
Top Bottom