Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope, we are still in, Matokeo yakibaki kama yalivyo bado tunaendeleaNdio
DetailsNope, we are still in, Matokeo yakibaki kama yalivyo bado tunaendelea
Hapo tunaendeleaje?Nope, we are still in, Matokeo yakibaki kama yalivyo bado tunaendelea
Hiko chama chenu ni vile kinakulanga rambirambi, mnaongizagwa na watu wasio na maveti huoni kuwa ni malaana hayo.nitaumia sana kama tutatolewa leo
Tatizo la watanzania wanajifariji kwa kauli za ajabu sana. Tushatolewa tayari, hakuna cha iwapo.Iwapo timu zikilingana kwa point ktk haya mashindano, mshindi anaamuliwa vipi?
wamefunga goli nyingi ukicompare na sisiFafanua... How!??