Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

Nasikitia waliotoa michango yao kwa mambo yasio na tija ! ni bora wanwasaidia hata wazee kule fungafunga angalao chakula cha mchana.
 
Kocha wa Serengeti Boys mbwembwe nyingiiiiii,
Badala kupanga Winning team olioichapa Angola.Eti anasema anafanya mabadiliko ili kuweka nguvu ya mechi za mbele
Hii akili kweli?we hujapita buado halafu unaangalia mbele.
Makocha wa Kitanzania bado saaana.
Aliyofanya Mkwasa ndio ameyofanya kocha wa Serengeti Boys.

Acheni wenye kujua wastahiki kushinda,watu wamewekeza kwenye soka la watoto,sio sie team inachangiwa kama yatima
Uandishi wako unatuchanganya wasomaji kuwa makini najua umechukia Tim yako pendwa kutolewa
 
Refa hii mechi imemshinda, kashindwa kuwapa tahadhari za yellow card hawa Niger waliokuwa wanapoteza muda kijinga. Hata hivyo safu ya ushambuliaji ya Serengeti Boys ipo butu sana. Yule asuleiman ana papara sana na anamakosa ya kipuuzi sana



na yule mpumbavu mwenzake # 17 kocha alivyokuwa boya anamuweka # 15 nje
 
2017-05-21+23.30.54.jpg

We are screwed up brothers.....

Hawa Jamaa hawa ilibidi wasikilizishwe nyimbo ya The Gambler by Keny Rodgers.

Every gambler knows
That the secret to survivin'
Is knowin' what to throw away
And knowin' what to keep
'Cause every hand's a winner
And every hand's a loser
And the best that you can hope for is to die
in your sleep
 
Kumbe wale madogo ukawa,hawakutaka kumpa ujiko dereva wa lori 2020
 
Hivi huyu kocha mswahili ndiye alimvimbishia Poulsen na kuamua kuchezesha kikosi tofauti? Au walikuwa wameumia?

Yote kwa yote wamejitahidi sana ikizingatiwa timu yenyewe naambiwa ilipatikana kwa kuokoteza kuokoteza kwa michuano mbalimbali pamoja na Airtel rising star na hawajakaa pamoja zaidi ya miaka miwili.

Labda hawa wa U15 wataokuja kuwakilisha 2019 tukiwa wenyeji.
 
Haya karibuni nyumbani,tusubiri kaka zenu Yanga nao round ya kwanza tu anapewa Mwarabu biashara kwisha tuendelee na nyimbo yetu ya Makonda cheti utatoa hutoi makonda utatoa hutoiii
 
Aliofanya Mkwasa kwa Sub mbovu na kukiri aliuwa chi
Ndio amechokifanya Kocha Wa Serengeti Boys,eti anajifanya kama wa Ulaya kuona kwamba ameushapita na kubahatidha kikosi badala to winning first 11 iliyopita.

Nashkuru Mungu kwa kutolewa,Mungu ametenda haki kwa wale waliowekeza kwenye soka la vijana wafike mbali na wale okota okota kama sie wakuungaunga safari huwa zinaishia kwa style hiyo.Tunajipa tamaa kisha, tunakufa kwa matumaini

Ukweli nikwamba Niger wangetuchapa nyingi tu,n as
 
Kwa Gundu la Mwakyembe tusitegemee chochote maana walishaanza kumpa sifa kana kwamba ndiyo muanzilishi wa hiyo team
 
BORA TUMETOKA MAANA MWAKYEMBE ANGEJISIFIA SANA[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ningeshangaa sana, Bongo kwa soka hatuna tofauti na Uingereza, mbwembwe nyingi sana.
 
Back
Top Bottom