Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uandishi wako unatuchanganya wasomaji kuwa makini najua umechukia Tim yako pendwa kutolewaKocha wa Serengeti Boys mbwembwe nyingiiiiii,
Badala kupanga Winning team olioichapa Angola.Eti anasema anafanya mabadiliko ili kuweka nguvu ya mechi za mbele
Hii akili kweli?we hujapita buado halafu unaangalia mbele.
Makocha wa Kitanzania bado saaana.
Aliyofanya Mkwasa ndio ameyofanya kocha wa Serengeti Boys.
Acheni wenye kujua wastahiki kushinda,watu wamewekeza kwenye soka la watoto,sio sie team inachangiwa kama yatima
Refa afungiwe
Refa hii mechi imemshinda, kashindwa kuwapa tahadhari za yellow card hawa Niger waliokuwa wanapoteza muda kijinga. Hata hivyo safu ya ushambuliaji ya Serengeti Boys ipo butu sana. Yule asuleiman ana papara sana na anamakosa ya kipuuzi sana
Well said,,mpira una wenyeweushamba wa watoto umei-cost team
Tuachane na haya mambo ya michezo,tujishughulishe na kilimo tu sasa.
Aisle keeling,Itakuwa tumelogwa na Wacongo.Ama walikuwa wakishika pum*u kila tukikaribia golinimsilalamike maana mlienda huko Gabon kwa kupitia mlango wa uani.