HITIMISHO:Mbowe ni zaidi ya Lissu hata kama Demokrasia imeamua.

Kwa muda kama huu tunahitaji sana Lissu, Lema, Heche, Sugu na mnyika hao wanaendana na mikiki iliyopo na inayotarajia kutokea kabla ya Oktoba. I wish Zitto angekuwepo kuongeza nguvu sema bas tu
 
Kamdomo ,kamdoml
 
Chama cha siasa ni combination ya viongozi na wanachama.. Tunamshukuru sana mwamba alikokitoa chama yeye na viongozi wengine mpaka kukifikisha alipokifikisha.. Tunamshukuru sana kwa uongozi makini uliotukuka na ana nafasi kubwa kwenye siasa za Tanganyika!
Lakini hatimaye uongozi wake umekoma kwa mujibu wa katiba ya chama na kwa kupitia sanduku la kura
Sasa wanachama wameamua kwenda na Lissu mengine yote ni simulizi tu za yatokslanayo na yaliyopita si ndwele
 
Kwahiyo kwa hayo ndio mlitaka aitawale chadema milele au?,Magufuli na uwehu wake alipewa nafasi nyeti kuliko zote sembuse lissu uenyekiti
 
Naona bado hujuamini uchaguzi umeisha. Hapa unatuletea story za hapo zamani za kale. Wakati ukuta, hizo sifa hazina maana yoyote kwa sasa.
 
Lisu ni mzuri kwa mikiki mikiki n si mambo ambayo yanahitaji utulivu wa akili katika politics. The only logical conclusion ni kuwa Mbowe is far better than Lisu in this aspect!!
Who cares?
 
Kweli kabisa, tunaheshimu demokrasia lakini ukweli CDM itakuwa na mvuto kuanzia sasa kwenda mpaka April hivi lakini baada ya hapo watu wataanza kumkumbuka Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…