Salam mkubwa,za jumatatu vp?
Mfikishie salamu zangu mzee magumashi
Uhwii... Mi nilishajiandaa kuku welcome pande za C.C.B bhana... Haya we komaa na Madame B a.k.a mke wenu.
©@Paloma ©@leah brown ©@mimisa
Mzee magumashi ameahidiwa na mwanasiasa kuwa kijiji chake kitajengewa shule ,hizi ni mbio toka uhuru
Sema nikupe shingapi uvunje hicho chama chenu? Ok ok, nimekusoma
Za teki vp lakini?mpe hi mzee magumashi
Uhwii... Mi nilishajiandaa kuku welcome pande za C.C.B bhana... Haya we komaa na Madame B a.k.a mke wenu.
© Paloma © Leah Brown © mimisa
habari za asubuhi
Kwahiyo una muachia komando? Usimtupe jongoo na mti wake