Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Ushawahi kunisikia naenda Meatu?
Wewe ndio kila siku uko njiani kwenda huko kuwaona...unadhani wangekuwa wangu nisingeenda?
Kwanini uwe na upendo wa namna hiyo kwa familia ambayo haikuhusu kwa karibu?
Ni watoto wako na Dena Amsi kama hajui ndio ajue kuwa anateseka kwa ajili ya hao watoto!

Nyie watu nyie?????????!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahahaaaaa
Acha kujitetea aisee
Unakumbuka yule mama yao alikufungulia kesi ambayo ndio ukienda huwa unakwenda kujibu mashtaka ya kumtelekeza na watoto wako wa damu! lol huna hata huruma kwa familia yako!
Na nakuambia lazma kesi ushindwe na ukae nao hao wanao sasa sijui Dena Amsi utamwambia nini juu ya hao watoto na mama yao!

He yamekuwa hayo tena??!!! Mie taarifa ninayo uliza Mr Rocky akuhabarishe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom