Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
Last edited by a moderator:
Tamko la Chimbuvu ninaagiza nakala ipelekwe fasta kwa:
kiplagati26.....we mkalenjn ushapiga kura?
Shark......thou shall protect your territory
CHAI CHUNGU......nasikia jana umeonekana mlingotini
tedo....still interested?
Chibolo......umeonekana Angola juzi libolo vs simba
gfsonwin......pole kungwi
Ben Saanane......tupe mwongozo kuhusu mtanange huu
Boss Mamdenyi eti umemfungia wapi Vin Diesel?
Si kweli akana Passion Lady hawezi kunifanyia hivyo! Labda kama si yeye!
Chimbuvu
Najua uko kwenye wakati mgumu ila naamini si wakati mgumu tena kwa kuwa umeshatoa maamuzi.
Cha muhimu ni huyo mkeo ambaye anapapatikia Ma politishiani ( Ben Saanane ) na washakaji wengine kuwa aachane nao coz hawana faida!
Ila angalizo tu ukiona maji shingoni kila siku uje tukakutapishe Limbwata ubaki huru!
Mtaka cha uvunguni ni sharti ainame,mwenda kwao siku zote haogopi giza.
Mtu anatapika nyongo yake halafu anailamba tena anaangaliwa na mzee magumashi.
Mapenzi ni kama kitabu,mpaka usome maandishi ndiyo uweze kuelewa.
Unatakiwa uwe na mpenzi mmoja kama namba ya gari.
Eti lishawahi kutokea tuendelee kushuhudia mtu mwingine akilia,
kweli kikulacho ki nguoni mwako mzee magumashi.
Mbona hamkufikiria aliyeachwa ndani usingizi haupati na hana jinsi ya kutoka.
Ninawashukuru sana wote wenye matumaini ya kuona mahusiano haya yanavunjika kwa kuonyesha ukomavu wenu wa kufikiri ulioanzia mabegani mpaka kwenda chini na wala kichwa hakikushirikishwa.
Mzee magumashi subiri tukuwekee pilipili machoni ili ujue utamu wa chabo.
Kumbuka simba mwenda pole ndiye mla nyama,
kupamba kaburi hakumfanyi aliyekufa kutabasamu.
Sina mengi kwa kuwa mimi sio mwanasiasa,ambao hawajitokezi mpaka mzee magumashi alambwe ban utasikia 'NI UPEPO TU HUO UTAPITA TU'
mimi safari imenishinda,,
Madame B mke wangu nampenda.
Wa kwenda kujinyonga afanye hivyo akipenda.
Mimi na yeye kuachana mpaka Mungu akipenda,
Hizi ni salamu zako Erickb52 Baba V Hiroaki Akahoshi Ben Saanane Ritz Judgement Arushaone watu8 Arabela gfsonwin Evelyn Salt Chilli tedo Nasema Mamndenyi Mkuuzumbe charminglady
shem wa ukweli Nicas Mtei
Invisible C6 Ruttashobolwa Bishanga Deejay nasmile mzabzab Kipipi King'asti Filipo Donn tedo Kapolondo Free Thinker @umm kulthum Paloma Mpole sana BADILI TABIA Asnam amu Babaubaya Vin Diesel @MR. ROCKY nk.
Tamko la Chimbuvu ninaagiza nakala ipelekwe fasta kwa:
kiplagati26.....we mkalenjn ushapiga kura?
Shark......thou shall protect your territory
CHAI CHUNGU......nasikia jana umeonekana mlingotini
tedo....still interested?
Chibolo......umeonekana Angola juzi libolo vs simba
gfsonwin......pole kungwi
Ben Saanane......tupe mwongozo kuhusu mtanange huu
Daaaaahhhhh my mdogo mkorofi wewe!!!yaani uko tayari kutoa pesa yako mfukoni ili kuvunja chama cha wenzio!!!!haya banah!!!ngumi zikianza naomba mi niwe refa.mzima lakini??????
Si kweli akana Passion Lady hawezi kunifanyia hivyo! Labda kama si yeye!
Whaaat???? Sikubaliani na hili..mie najua nina shem mmoja tu Ben Saanane . Upo wapi shemeji mkeo anakumbushia viporo huku...
ah ah! nimekumbuka nataka ela tuition, mie mzima!
Nimekukumbuka kweli!