Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Mhmm wewe Chimbuvu unaubavu wakukwaana na Commandoo??nakuonea huruma ila ningebahatika kumjua Madame B ningekwambia huyu ni mwanamke wa aina gani!!Ila kwa ushahuri naona kuna mtu anampa ushahuri sana humu katika jukwaa jaribu kumfata utaambiwa na kama habari za komando ni zaukweli basi itakuwa mbinde maana hautajua komando kaingiaje kwako!!!

Hahaha!
Unataka kuniona mpendwa.
Tafuta bango la StarTime yule mwanamke ndo mimi na utakuwa umeniona Shevchenko wa Ukwenhe.
Ila mie ni mlezi mzuri wa wanaume na ndio maana hawana ubavu wa kusepa mbele ya mwanamke rijali.
Hahaha.
 
Last edited by a moderator:

Wahi kenya nasikia kiplagati26 kashinda ubunge wa narok.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha!
Unataka kuniona mpendwa.
Tafuta bango la StarTime yule mwanamke ndo mimi na utakuwa umeniona Shevchenko wa Ukwenhe.
Ila mie ni mlezi mzuri wa wanaume na ndio maana hawana ubavu wa kusepa mbele ya mwanamke rijali.
Hahaha.
Mpaka ume edit inaelekea maandiko yalikuwa mazito sana maana nadhani Shevchenko asingerudia!
 
Last edited by a moderator:
Tangu juzi ndio unafufuka leo?
Kweli pombe si chai, mie nilifika salama.
Mhm juzi wapi??kwani uliniona mimi au pacha wangu??ila tafuta thread zangu ya elekea Komando kakamata engle zote!
 
Umeamkaje Madame B? Nahisi ka kukumiss vile,thijui kwa nini.

Hata mie, usiku wa kuamkia leo nimeota niko na wewe, ndani ya korido za B. Beach Hotel, nikashika kitasa cha mlango mmoja wapo huku wewe unanifuata kwa nyuma....ghafla nikashtuka toka usingizini!!!
Damn it!"!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom