Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

ameahidiwa tena cc zitatolewa ajira milioni mbili kila mwezi


Inaonekana amesahau ahadi za wanasiasa ni hewa! Kigoma wanasubiri iwe Dubai, Kibaha wanasubiri iwe mji wa viwanga, Morogoro wanasubiri kuwa ghala la taifa wakati mimi nasubiri maisha bora!
 

Chezea Kitumbua weye..!!!
 
Donn..define limbwata,types,application na kila kitu abt it..ili nijue nakulisha vipi..nisije dhurika mwenyew bure
mimi anashangaa Chimbuvu amelishwa 100Kg of Limbwata. Mimi taka wewe unilishe 1Ton of Limbwata
 
Last edited by a moderator:

Avumaye baharini papa kumbe na makardinali wapo, nilidhani Mpoto yuko alone kumbe sanaa hii hadi Bukavu. Umeskia kaingia pia komandoo kiplagati26, huyo anapiga karate mwambatano kwa kirumi...., kweli ndoa ndoano, uliona unafaidi kumbe chambo.
 
Last edited by a moderator:
umetiririka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…