mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
ila huu ugonjwa nao unazidi kupoteza umaarufu sasa yameibuka magonjwa hatari kama kansa kisukari na preshaNI kweli kabisa Mkuu wao ndo wenye Mamlaka yote sema mpaka waidhinishe huwa inachukua muda mrefu sana wakati watu wanazidi kuumia
Kwa kua ile taswira ya zamani ya watu kukondeana,vidonda midomoni haipo tena siku hizi kwani kila umuonae kanona si rahisi kumtambua mwenye virus na asiye navyo,halafu siku hizi kufa kwa ukimwi kwa kweli ni uzembe tuwa mtu na kwa wachache sana ndio wanaupata kwa bahati mbaya, kwani kwa kiasi kikubwa mambo yamekua poa tofauti na awali.ila huu ugonjwa nao unazidi kupoteza umaarufu sasa yameibuka magonjwa hatari kama kansa kisukari na presha
wanaondoka coz hawafuati masharti hasa hasa huko vijjn kunahitajika elimu sana jinsi ya kutumia hizi arvs maana samtime watu wanatumia wanaacha bado wanalewa bado wanaendelea kufanya ngono na kupata maambukizi mapyaLakini watu bado wanaondoka, umepoteza umaarufu kwakuwa uko more manageable.
Mara nyingi sangoma anasema usichanye, na yeye ana access na wewe kuliko daktari, unamsikiliza.wanaondoka coz hawafuati masharti hasa hasa huko vijjn kunahitajika elimu sana jinsi ya kutumia hizi arvs maana samtime watu wanatumia wanaacha bado wanalewa bado wanaendelea kufanya ngono na kupata maambukizi mapya
mkuu kiukweli huu ugonjwa umekaa pabaya mimi nikiangalia pale dom watoto wa mama salma vyuoni pale walivyo wengi na ubaya hizi dawa za arvs zikikupenda Dem anaota hips na tako la hatari sasa ww ukiona unajua ni mzima ukiingia unaubeba unamletea mke wako daa aiseeKwa kua ile taswira ya zamani ya watu kukondeana,vidonda midomoni haipo tena siku hizi kwani kila umuonae kanona si rahisi kumtambua mwenye virus na asiye navyo,halafu siku hizi kufa kwa ukimwi kwa kweli ni uzembe tuwa mtu na kwa wachache sana ndio wanaupata kwa bahati mbaya, kwani kwa kiasi kikubwa mambo yamekua poa tofauti na awali.
Akiwa kwenye ARV's na undictactable viral load hawezi kukuambukiza bwana.mkuu kiukweli huu ugonjwa umekaa pabaya mimi nikiangalia pale dom watoto wa mama salma vyuoni pale walivyo wengi na ubaya hizi dawa za arvs zikikupenda Dem anaota hips na tako la hatari sasa ww ukiona unajua ni mzima ukiingia unaubeba unamletea mke wako daa aisee
Unajua kitu kimoja ambacho niliambiwa na dada mmoja ambaye alikua anafanya kazi kwenye kituo cha kupima na kutoa ushauri nasaha kwamba usimwamini mtu yeyote ambaye huna uhakika wa status ya afya yake, kwa kweli yale maneno yalinikaa sana hadi hii leo nayakumbuka kama nimeambiwa jana,so hata iweje mimi mwanamke ambaye siyo permanent girl wangu huwa sitembei nae bila kutumia mpira, na juu ya yote kila baada ya miezi sita lazima nirudi nipime,huu ugonjwa toka umeniondolea mdogo wangu ndio nimezidi kujitenga nao kabisa,japo bwana mdogo wangu ni kama alitaka tu mwenyewe kwani alikua hataki dawa wala kwenda hospital aliamua tu iwe hivyo na ukamuondoa.mkuu kiukweli huu ugonjwa umekaa pabaya mimi nikiangalia pale dom watoto wa mama salma vyuoni pale walivyo wengi na ubaya hizi dawa za arvs zikikupenda Dem anaota hips na tako la hatari sasa ww ukiona unajua ni mzima ukiingia unaubeba unamletea mke wako daa aisee
Anaetumia ARV's na akawa na undictatable status, basi ugonjwa utakuwa umejificha kwenye T-cell, hauko tena kwenye damu, lakini anatakiwa kujilinda kwa magonjwa mengine ya zinaa kama gonorrhea na mengineyo.Unajua kitu kimoja ambacho niliambiwa na dada mmoja ambaye alikua anafanya kazi kwenye kituo cha kupima na kutoa ushauri nasaha kwamba usimwamini mtu yeyote ambaye huna uhakika wa status ya afya yake, kwa kweli yale maneno yalinikaa sana hadi hii leo nayakumbuka kama nimeambiwa jana,so hata iweje mimi mwanamke ambaye siyo permanent girl wangu huwa sitembei nae bila kutumia mpira, na juu ya yote kila baada ya miezi sita lazima nirudi nipime,huu ugonjwa toka umeniondolea mdogo wangu ndio nimezidi kujitenga nao kabisa,japo bwana mdogo wangu ni kama alitaka tu mwenyewe kwani alikua hataki dawa wala kwenda hospital aliamua tu iwe hivyo na ukamuondoa.
duu pole mkuu kwa nn bwana mdogo aligoma kabisaUnajua kitu kimoja ambacho niliambiwa na dada mmoja ambaye alikua anafanya kazi kwenye kituo cha kupima na kutoa ushauri nasaha kwamba usimwamini mtu yeyote ambaye huna uhakika wa status ya afya yake, kwa kweli yale maneno yalinikaa sana hadi hii leo nayakumbuka kama nimeambiwa jana,so hata iweje mimi mwanamke ambaye siyo permanent girl wangu huwa sitembei nae bila kutumia mpira, na juu ya yote kila baada ya miezi sita lazima nirudi nipime,huu ugonjwa toka umeniondolea mdogo wangu ndio nimezidi kujitenga nao kabisa,japo bwana mdogo wangu ni kama alitaka tu mwenyewe kwani alikua hataki dawa wala kwenda hospital aliamua tu iwe hivyo na ukamuondoa.
Ndio nilikuwa nasikiliza redioni juzi, ndo nimesikia hiyo kitu aisee,eti wanasema anayetumia dawa za Arvs ujazo wa virusi vyake unakuwa ni mdogo,so hata kwenye vipimo unaweza asionekane kama ana virusi,nilishangaa kumbe waweza kwenda na mtu kupima asionekane navyo kumbe anavyo sema viko mbali,aisee hizi dawa zimesaidia wengi kwa kweli.Anaetumia ARV's na akawa na undictatable status, basi ugonjwa utakuwa umejificha kwenye T-cell, hauko tena kwenye damu, lakini anatakiwa kujilinda kwa magonjwa mengine ya zinaa kama gonorrhea na mengineyo.
lakini copies za HIV zinakuwa kwenya antibody.Ndio nilikuwa nasikiliza redioni juzi, ndo nimesikia hiyo kitu aisee,eti wanasema anayetumia dawa za Arvs ujazo wa virusi vyake unakuwa ni mdogo,so hata kwenye vipimo unaweza asionekane kama ana virusi,nilishangaa kumbe waweza kwenda na mtu kupima asionekane navyo kumbe anavyo sema viko mbali,aisee hizi dawa zimesaidia wengi kwa kweli.
Yaani aligoma kabisa,mpaka siku anaenda kuchukuliwa anapelekwa dar ilikua too late,yaani hata huitaji kuambiwa anaumwa nini,vidonda kinywani kibao,mwili umepungua kabisa kabaki kama skeleton na alikua na mwili mkubwa,ndo hivyo tushamzika kitambo tu.duu pole mkuu kwa nn bwana mdogo aligoma kabisa
Mkuu huu ugonjwa kila mtu umemgusa kivyake.Yaani aligoma kabisa,mpaka siku anaenda kuchukuliwa anapelekwa dar ilikua too late,yaani hata huitaji kuambiwa anaumwa nini,vidonda kinywani kibao,mwili umepungua kabisa kabaki kama skeleton na alikua na mwili mkubwa,ndo hivyo tushamzika kitambo tu.
Sijaelewa vizuri hebu nifafanulie hapo.lakini copies za HIV zinakuwa kwenya antibody.
Ni kweli kabisa, wala si uongo,tofauti na miaka ya nyuma imani ilikua kwamba watu wa mikoa fulani ndio wenye hiyo shida,lakini sasa kila mtu umemgusa kivyake.Mkuu huu ugonjwa kila mtu umemgusa kivyake.
Ok,nimekuelewaMkuu kwasababu ugonjwa umejificha kwenye T-cell, inamaana usipokunywa ARV kuzibiti ( inhibitors) bado utaendelea kutoa copies za HIV.